
Wafuasi wa Kizayuni Wenye njama ya kumpindua “Ilhan Omar” waongezeka
Wafuasi matajiri wa Marekani wa utawala wa Kizayuni wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii, kwa lengo la kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kumuunga mkono “Don Samuels” na kukabiliana dhidi ya Ilhan Omar; Muislamu na mgombea mpinga wa Kizayuni katika uchaguzi wa awali wa Chama cha Demokrasia nchini humo katika jimbo la Minnesota. Madhumuni…

Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina: Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Msikiti Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 9 Agosti 2024 Hotuba ya Kwanza: Tayyib na Khabees hawawezi kulinganishwa katika jamii Hotuba ya Pili: Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina Mwenyezi Mungu…

Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisema kuwa nchi yake inaunga mkono juhudi za Uturuki za kutafuta suluhu na amani kwa mizozo ya kimataifa. “Vilevile tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya watu wa Gaza,” asema Hassan. “Pia tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya…

Umoja wa Mataifa wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani nchini Bangladesh
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuhamishwa madaraka kwa njia ya amani nchini Bangladesh, akitoa wito wa kuwajibishwa maafisa wa serikali ya nchi hiyo waliohusika na mauaji ya mamia ya watu na kujeruhiwa maelfu ya waandamanaji katika maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali. Volker Türk amesema kuwa uhamishaji…

Tanzania inataka kuwafurusha Wamasai kwa ajili ya wanyamapori – Wenyeji wapinga Hatua hiyo
Wanajamii wanafanya kampeni kwa wafadhili wa kimataifa kufidia serikali yao na kukomesha ukiukaji wa haki. Dar-es-Salaam, Tanzania – Nadharia ya Joseph Oleshangay ni kwamba maafisa wa serikali katika nchi yake, Tanzania, wanaona watu kutoka jamii yake kuwa chini ya wanadamu. Mwanasheria huyo wa haki za binadamu mwenye umri wa miaka 36 na mwanachama wa kundi…

Mali yakata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine baada ya shambulio la kigaidi
Mali imetangaza kuwa inakata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine baada ya Ukraine kukiri kuhusika katika shambulio la kigaidi la hivi karibuni katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Msemaji wa Serikali ya Mpito ya Mali, Kanali Abdoulaye Maiga amesema katika taarifa yake kuwa serikali hiyo imegundua, kwa mshtuko mkubwa, matamshi ya kushangaza yaliyotolewa na Andriy Yusov, msemaji wa Shirika…

Shahidi Haniyah ameidhinisha kuangamizwa kwa Israel: Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Msikiti wa Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 2 Agosti 2024 Hotuba ya Kwanza: Tayyib na Halal vinapaswa kuwa msingi wa maisha yetu ya kiuchumi Hotuba ya Pili: Shahidi Haniyah h ameidhinisha kuangamizwa kwa Israel…

Jeshi la SEPAH latoa taarifa kuhusu kuuawa shahidi Ismail Haniya
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limetoa taarifa nambari tatu inayoeleza na kubainisha jinsi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS alivyouawa hapa mjini Tehran. Taarifa ya SEPAH inaeleza kuwa, jinai hiyo ya kigaidi iliyopelekea kuuawa shahidi Ismail Haniya ilipangwa na kutekelezwa…