
Jinsi ya kuswali kama Imam Sajjad (as): Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mudiri wa Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan KHUTBA YA IJUMAA – 21 MACHI 2025 Khutba ya 1: Jinsi ya kuswali kama Imam Sajjad (as) اللَّهُمَّ صَلِّ عَلَى مُحَمَّد وَآلِهِ، Ewe Mola mrehemu Muhammad na Aali zake. وَأَلْهِمْنَا مَعْرِفَةَ فَضْلِهِ وَإِجْلاَلَ…

Swiyam ina maana ya kujizuia kabisa kwa viungo vyote
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mudiri wa Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan KHUTBA YA IJUMAA – 14 MACHI 2025 Khutba ya 1: Swiyam ina maana ya kujizuia kabisa kwa viungo vyote Katika sehemu ya mwanzo ya dua hii, Imam (a.s) anatufahamisha kuhusu mwezi mtukufu…

Dua ya 44 ya Ramadhani ya Imam Sajjad (as) – Sehemu ya 2 (Orodha ya vitu vinavyopatikana kuanzia mwezi huu)
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mudiri wa Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan. KHUTBA YA IJUMAA – 7 MACHI 2025 Khutba ya 1 : Dua ya 44 ya Ramadhani ya Imam Sajjad (as) – Sehemu ya 2 (Orodha ya vitu vinavyopatikana kuanzia mwezi huu) والْحَمْدُ لِلّه…

Dua 44 ya Ramadhani ya Imam Sajjad (a) – Sehemu ya 1: Ustadh Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Mudiri Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 28 FEBRUARI 2025 Khutba ya 1: : Dua 44 ya Ramadhani ya Imam Sajjad (a) – Sehemu ya 1 Mwenyezi Mungu ameweka Mfumo wa Uongofu kupitia dini, na kwa ajili…

Fitnah ni somo la kijamii la Quran na Taqwa mahususi kwa ajili ya kujilinda: Ustadh Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Mudiri Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 21 FEBRUARI 2025 Khutba ya 1: Fitnah ni somo la kijamii la Quran na Taqwa mahususi kwa ajili ya kujilinda. Wanadamu wamezungukwa na aina nyingi za fitna, na kulazimika kuwa…

Raghbat(Shauku) ya kuwa na Daulat-e-Kareema (serikali ya Kiislamu) ni wajibu tuliowekewa na Imam wa zama (a.t.f.s)
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 14 FEBRUARI 2025 Khutba ya 1 & 2 : Raghbat(Shauku) ya kuwa na Daulat-e-Kareema (serikali ya Kiislamu) ni wajibu tuliowekewa na Imam wa zama (a.t.f.s) Mwongozo ni hitaji la kimsingi…