Ulimwengu wa Kiislamu

Udhalili wa Waislamu kwa sasa unaweza kuondolewa na toba ya kivitendo: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Udhalili wa Waislamu kwa sasa unaweza kuondolewa na toba ya kivitendo: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 12 April, 2024   Hotuba ya 1 :Taqwa na Tawakkul hutoa dhamana ya ulinzi Hotuba ya 2: Udhalili wa Waislamu kwa sasa unaweza kuondolewa na toba ya kivitendo Bila ya…

kama maulama hawawezi kutoa fat’wa ya Jihad – watu wanayo fatuwa kutoka kwenye Qur’an na Mtume(s.a.w): Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

kama maulama hawawezi kutoa fat’wa ya Jihad – watu wanayo fatuwa kutoka kwenye Qur’an na Mtume(s.a.w): Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 5 April, 2024 Sermon 1: Dua ya Imam Sajjad (a) – ulinzi wa viungo katika mwezi huu Sermon 2: kama maulama hawawezi kutoa fat’wa ya Jihad – watu wanayo fatuwa…

Makubaliano baada ya ihtilafu.. Eid al-Fitr inaanza lini mwaka huu?

Makubaliano baada ya ihtilafu.. Eid al-Fitr inaanza lini mwaka huu?

Nchi za Kiarabu zilitofautiana katika tangazo lao la mwezi mpevu wa Ramadhani Nchi kama vile Saudi Arabia, Qatar, na Misri zilianza mfungo wao mnamo Machi 11, wakati nchi kama Oman na Jordan hazikubaliani na zilianza mfungo wao siku iliyofuata. Machi 12. Lakini inaonekana kwamba kutoelewana huku kutageuka kuwa makubaliano ya tarehe ya kwanza ya Shawwal…

Watu kadhaa wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar

Watu kadhaa wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar

Jeshi la polisi visiwani Zanzibar nchini Tanzania limewatia mbaroni watu 12 kwa tuhuma za kukiuka utaratibu wa dini ya Kiislamu kwa kula mchana hadharani katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakar Khamis Ally…

Laylatul Qadr- Kushuka kwa malaika kwa mwanadamu/ kuhusu Quds , march ndani ya miji kisha kuelekea Palestina: Hujjatul Islam Jawad Naqvi

Laylatul Qadr- Kushuka kwa malaika kwa mwanadamu/ kuhusu Quds , march ndani ya miji kisha kuelekea Palestina: Hujjatul Islam Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 29 March, 2024 Hotuba ya 1: Laylatul Qadr- Kushuka kwa malaika kwa mwanadamu Hotuba ya 2: kuhusu Quds , march ndani ya miji kisha kuelekea Palestina Mwenyezi Mungu amefanya mipangilio maalumu…

Dua ya Imām Sajjad (‘a) -Ramadhan ni kipimo cha kutenganisha baina ya waumini na wanafiki: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Dua ya Imām Sajjad (‘a) -Ramadhan ni kipimo cha kutenganisha baina ya waumini na wanafiki: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijuma – 22nd March, 2024   Hotuba ya 1: Dua ya Imām Sajjad (‘a) -Ramadhan ni kipimo cha kutenganisha baina ya waumini na wanafiki Hotuba ya 2: Saumu huipa nguvu nia ili kuweza…

Njia ya Ramadhani inaongoza kwenye kupata radhi za Mwenyezi Mungu: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Njia ya Ramadhani inaongoza kwenye kupata radhi za Mwenyezi Mungu: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika : Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 15 March, 2024 Hotuba ya 1: Njia ya Ramadhani inaongoza kwenye kupata radhi za Mwenyezi Mungu Hotuba ya 2: Vipi Sawm (kufunga) kunakuza Taqwa ndani ya mwanadamu? Mwezi…

Elneny azindua chumba cha kwanza cha Swala katika uwanja wa Arsenal

Elneny azindua chumba cha kwanza cha Swala katika uwanja wa Arsenal

Nyota wa timu ya taifa ya Misri, Mohamed Elneny, na mchezaji wa timu ya soka ya Uingereza ya Arsenal, amezindua chumba cha kwanza cha Swala kwa ajili ya wachezaji wa Kiislamu kwenye Uwanja wa Emirates uliopo katika mji mkuu wa Uingereza, London, suala litakalowawezesha kusali na kuabudu katika eneo hilo katika mwezi wa huu wa…