Ulimwengu wa Kiislamu

Kwa Nini Uadilifu Ni Muhimu Kama Msingi Katika Jamii Ya Wanadamu? Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Kwa Nini Uadilifu Ni Muhimu Kama Msingi Katika Jamii Ya Wanadamu? Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya ijumaa – 8th March, 2024     Hotuba ya 1: Kwa Nini Uadilifu Ni Muhimu Kama Msingi Katika Jamii Ya Wanadamu? Hotuba ya 2: kuimarisha nguvu ya utashi  (Iraada) – ni muhimu…

Guterrez ataka makundi hasimu nchini Sudan yaheshimu Ramadhani

Guterrez ataka makundi hasimu nchini Sudan yaheshimu Ramadhani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewataka majenerali wa kijeshi nchini Sudan waheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhani na ametoa mwito wa kusitishwa mapigano wakati wa mwezi huo mtukufu. Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Guterres amesema: “Ninatoa mwito kwa pande zote nchini Sudan kusitisha vita na kuheshimu maadili…

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Harakati ya Hamas  imekaribisha kauli ya “Umoja wa Afrika” kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina “Shahab”, katika taarifa ya harakati ya Hamas, imeeleza: Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunakaribisha taarifa ya mwisho ya Mkutano wa 37 wa Umoja wa…

Amn, Adl, Khisb – ni mahitaji matatu muhimu ya jamii: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Amn, Adl, Khisb – ni mahitaji matatu muhimu ya jamii: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya – 1 March, 2024 Hotuba ya 1: Amn, Adl, Khisb – ni mahitaji matatu muhimu ya jamii Hotuba ya 2: kuishi kwa kila mtu kunategemea mfumo wa Imamat Mwenyezi Mungu ameanzisha uadilifu…

UNRWA: Watoto wa Gaza wanafariki pole pole mbele ya macho ya ulimwengu

UNRWA: Watoto wa Gaza wanafariki pole pole mbele ya macho ya ulimwengu

Shirika la Misaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina limeonya kuwa, watoto wa Gaza wanakufa taratibu mbele ya macho ya walimwengu kutokana na njaa na utapiamlo. Shirika la Misaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) lilionya tena Jumamosi kuhusu njaa na mzozo wa utapiamlo huko Gaza. Katika kukabiliana na kifo cha Wapalestina kutokana na njaa na utapiamlo, UNRWA…

Mizan (mzani) and Hadid (chuma) – kwa ajili ya kusimamisha uadilifu: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Mizan (mzani) and Hadid (chuma) – kwa ajili ya kusimamisha uadilifu: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 23rd Februari, 2024 Hotuba ya 1: Mizan (mzani) and Hadid (chuma) – kwa ajili ya kusimamisha uadilifu. Hotuba ya 2:Gaza ni kipimo ambacho kinathibitisha kuwa hakuna binadamu juu ya ardhi…

Mashia wa Imam Sajjad (a) na Shia wa tarehe 8 Februari 2024: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Mashia wa Imam Sajjad (a) na Shia wa tarehe 8 Februari 2024: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 16 Februari, 2024 Hotuba ya 1: Mashia wa Imam Sajjad (a) na Shia wa tarehe 8 Februari 2024 Hotuba ya 2: Kutimiza agano na Mwenyezi Mungu, Mtume na Imam katika…

Sheikh Zakzaky: Adui amewaua Wapalestina 20,000 dhidi ya wapiganaji 4,000.

Sheikh Zakzaky: Adui amewaua Wapalestina 20,000 dhidi ya wapiganaji 4,000.

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ameeleza kuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni chimbuko la wahyi kwa mataifa ya Kiislamu dhidi ya madhalimu wenye kiburi, na kuhusu vita vya Ghaza amesema kua: wakati idadi ya wapiganaji wa Hamas ni 4,000 tu, adui ameua zaidi ya Wapalestina 20,000 hadi sasa, na Wengi wao katika…