Ulimwengu wa Kiislamu

Afisa Mzayuni: Ukweli ni kwamba, Hatuwezi kukabiliana na mashambulizi ya Hizbullah

Afisa Mzayuni: Ukweli ni kwamba, Hatuwezi kukabiliana na mashambulizi ya Hizbullah

Mkuu wa baraza la kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Margaliot ambaye hivi karibuni aliliomba jeshi la Israel liharibu miji ya mpakani ya Lebanon, amekiri kwamba, mashambulio ya harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ni makali mno kiasi kwamba hawawezi tena kuingia na kutoka kwa urahisi katika mji huo na kitu pekee wanachoweza kufanya ni kujificha….

Ufichuzi wa binti wa Abu Bakr al-Baghdadi kuhusu baba yake

Ufichuzi wa binti wa Abu Bakr al-Baghdadi kuhusu baba yake

Nilishtuka sana nilipomwona baba yangu kwenye runinga akitangaza ukhalifa wa ISIS kutoka Msikiti wa Al-Nuri huko Mosul. Kwa mujibu wa ripoti hii, baada ya kufichuliwa kwa “Asma Muhammad”, mke wa Abu Bakr al-Baghdadi, mtu ambaye aliutia hofu ulimwengu kwa miaka mingi, kuhusu mke wake na kuwekwa kwa ukhalifa wake wa kujitangaza kwenye eneo kubwa la…

Madaraka na utajiri ndio mambo mawili ya msingi kwa jamii:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Madaraka na utajiri ndio mambo mawili ya msingi kwa jamii:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: madaraka na utajiri ndio mambo mawili ya msingi kwa jamii Hotuba ya 2: Gaza – uthibitisho wa kutelekezwa taqwa na waislamu wote ulimwengu mzima Taqwa ni mfumo kamili wa maisha ndani…

Vita vya maneno kati ya Misri na Israel vinaendelea baada ya Tel Aviv kuihusisha Cairo na Oktoba 7

Vita vya maneno kati ya Misri na Israel vinaendelea baada ya Tel Aviv kuihusisha Cairo na Oktoba 7

Mvutano wa kidiplomasia kati ya Misri na utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka kufuatia matamshi yenye utata yaliyotolewa na waziri wa Israel ya kuihusisha Cairo na matukio ya Oktoba 7. Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetoa taarifa ya kulaani ilichokiita matamshi ya “kuaibisha” na “ya kutowajibika” ya waziri wa fedha wa mrengo wa…

Maadhimisho ya mwaka wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika maeneo tofauti duniani

Maadhimisho ya mwaka wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika maeneo tofauti duniani

Maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu zimefanyika nchini Burkina Faso, Uturuki, Jamhuri ya Azerbaijan, Georgia, Sweden, Japan na Turkmenistan kwa kuhudhuriwa na maafisa wa nchi hizo, mabalozi na wakuu wa ujumbe wa kigeni na wakazi wa Irani. Sherehe za mwaka wa 45 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu zimefanyika katika maeneo…

Madhumuni ya kusimamisha uadilifu katika jamii kwa mwanasosholojia na Qur’an: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Madhumuni ya kusimamisha uadilifu katika jamii kwa mwanasosholojia na Qur’an: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya ijumaa – 2nd February, 2024 Hotuba ya 1 : Madhumuni ya kusimamisha uadilifu katika jamii kwa mwanasosholojia na Qur’an Hotuba ya 2: Kushiriki katika uchaguzi ni unyakuzi wa haki za uimamu Taqwa…

Mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza ndani ya Sana’a, mji mkuu wa Yemen

Mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza ndani ya Sana’a, mji mkuu wa Yemen

Baadhi ya vyanzo vya habari vimetangaza kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Uingereza dhidi ya Sana’a, mji mkuu wa Yemen. Vyanzo vya karibu na Yemen vimetangaza shambulio jipya la Marekani na Uingereza katika nchi hii. Vyanzo vingine vimeripoti safari za ndege za wapiganaji wa nchi hizi mbili katika anga ya Sana’a na wakati…

Kiongozi wa Mapinduzi ya Afrika: Wazayuni wanamalengo ya kuvunja uhusiano wa kihistoria kati ya Afrika na Palestina

Kiongozi wa Mapinduzi ya Afrika: Wazayuni wanamalengo ya kuvunja uhusiano wa kihistoria kati ya Afrika na Palestina

Kiongozi wa mapinduzi dhidi ya Uzayuni wa Afrika amesema: Wazayuni wanataka kuvunja uhusiano wa kihistoria kati ya Waafrika, nchi za Kiarabu na Palestina. Kami Saba akiwa katika mkutano na waandishi wa habari juu ya mada ya mapambano ya Afrika dhidi ya ukoloni na upinzani wa Gaza dhidi ya adui wa kawaida, uliofanyika katika ukumbi wa…