Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan December 08, 2023 Hotuba ya 1: Kizazi hiki kitafanyiwa uchunguzi mnamo siku ya Qiyama na kigezo cha uchunguzi huo itakua ni Gaza Taqwa ni ulinzi katika kila kipengele cha…
Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan December 01, 2023 Hotuba ya 1: Msaada kufika Gaza, ni hatua gani inapaswa kuchukuliwa kwa ajili ya nchi hizi 58 za Kiislamu zilizokufa? Nawahusieni nyinyi na kuihusia nafsi yangu katika…
Kiongozi wa Mapinduzi: Utawala wa kihalifu wa Kizayuni ulipoteza sifa yake pamoja na utamaduni wa Magharibi / tufani ya Al-Aqsa ilikua dhidi ya utawala wa Kizayuni japo Amerika pia iliathirika
Akigusia athari za operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kua Hatua ya kikatili ya utawala wa Kizayuni iliyofanyika dhidi ya watu wa Ghaza, imeondoa sifa na kuharibu muonekano wa nchi za Kimagharibi. Ayatullah Khamenei, ambaye ni Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema leo hii katika kikao chake pamoja…
Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 24, 2023 Mahubiri ya 1: Kutojali – Ugonjwa uliojificha katika jamii na Umma mzima wafichuliwa kupitia matukio ya Gaza Nawahusieni nyinyi na kuihusia nafsi yangu katika kuielekea Taqwa…
Gaza baada ya kusitishwa kwa mapigano; Kurudi kwa watu katika kivuli cha harakati za wakaaji
Mwandishi wa mtandao wa “Al-Mayadeen” aliripoti kuanza kwa mchakato wa kurejea kwa wakimbizi wa Kipalestina huko Gaza katika masaa ya kwanza ya utekelezwaji wa usitishaji mapigano wa kibinadamu na kusema kuwa, wavamizi hao walikiuka usitishaji vita huko mjini Rafah iliyopo Mashariki na Kaskazini-Magharibi mwa Gaza. Ripota wa Al-Mayadeen huko Ghaza leo, Ijumaa, Novemba 24 na…
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi ya kuvuka mipaka yote ya dhulma – Viongozi wa nchi za Kiislamu walifanya makosa katika mkutano wa OIC kwa kuwapa Israel ruhusa ya kuvuka mipaka
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 17, 2023 Hotuba ya 1: Viongozi wa nchi za Kiislamu walifanya “Haram” katika mkutano wa OIC kwa kuwapa Israel ruhusa ya kuvuka mipaka yote ya dhulma. Inawezekana tukamwona…
Uchambuzi wa hisia za kufedhehesha za Imarati kwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza
Katika utafiti uliochapishwa na Kituo cha Mafunzo ya Mashariki ya Kati huko Washington (MEI), imeelezwa kuwa Imarati imekuwa na nafasi ya uungaji mkono mkubwa wa kieneo wa utawala huu katika kipindi chote cha shambulio la jinai la Israel dhidi ya Gaza – ambalo liliingia katika mkondo wa pili. Katika utafiti huu, imeelezwa kuwa vita ambavyo…
Siku ya 40 baada ya operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa / idadi ya mashahidi kupitia uvamizi wa utawala wa Kizayuni nchini Palestina yafikia elfu 11 / askari wa utawala wa Kizayuni wawasili katika hospitali ya al-Shifa huko Ghaza.
Jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina, K.M.V mashambulizi katika maeneo ya makazi, na vilevile hospitali bado zinaendelea katika siku ya 40 baada ya operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa, kiasi kwamba wanajeshi wa Kizayuni wakiwa chini ya wingu kubwa la mashambulizi ya anga waliingia katika hospitali ya al-Shifa iliyoko Ghaza baada ya siku…