Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa kwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Septemba 8, 2023 Hotuba ya 1: Kazi ya kimsingi ya Ibrahim (a) na Imam Husein (a) ilikuwa kutoa mwelekeo kwa wanadamu. Mwenyezi Mungu amewajaalia Mitume, vitabu, na Siirat za Mitume…
Dhirisho la Umoja katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussain AS nchini Kenya
Maombolezi ya Arubaini ya Imam Husseini (AS) huko Nairobi, Kenya, yamefanyika kwa kuhudhuriwa na Waislamu wa madhehebu za shia na Suni. Kwa mujibu wa ripoti ya Iranpress, maombelezo ya Arubaini ya kuuwawa shahidi Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS) na wafuasi wake yamefanyika kwa kuhudhuriwa na Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni wapenzi…
Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa kwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Septemba 1, 2023 Hotuba ya 1: Kuanzishwa kwa Adl katika jamii huanza kabla ya kuanzishwa kwa jamii Katika Surah Hadid, aya ya 25; Allah (s) amewaamuru waumini kusimamisha Adl….
Hoyuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Agosti 25, 2023 HOTUBA YA KWANZA : SIFA TATU ZA MSINGI ZA MTU MWADILIFU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…
Khtibu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Wazayuni wanatafuta kutengeza Uyahudi na udhibiti kamili wa al – Quds
Sheikh Ikrame Sabri, Khatib wa Msikiti wa Al-Aqsa, alisema: Kuidhinishwa kwa kile kinachoitwa mpango wa miaka mitano wa maendeleo ya Jerusalem Mashariki na utawala unaoukalia kwa mabavu unalenga katika Uyahudi na kuudhibiti kikamilifu mji huu. Akiashiria kwamba wavamizi hao wanatafuta udhibiti kamili juu ya Jerusalem, Sheikh Akram Sabri alisema: Yeyote anayesafiri kuelekea magharibi mwa Jerusalem…
Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika
Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika. Raisi aliyasema hayo katika mkutano wake wa Alhamisi na Rais mwenzake wa Senegal, Macky Sall kando ya mkutano wa…
Hotuba ya Ijumaa na Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Agosti 18, 2023 HOTUBA YA KWANZA: UADILIFU WA MTU BINAFSI HUKUZWA KWA UADILIFU WA KIJAMII Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha…
Khalid Meshaal: Israel inataka kuwatimua wakazi wa Ukingo wa Magharibi
Mkuu wa harakati ya Hamas nje ya Palestina amesisitiza kuwa kwa mujibu wa fikra za Uzayuni, watu wa Palestina hawana nafasi katika nchi hii na wanapaswa kuhamia Jordan. Khalid Meshaal, Mkuu wa Harakati ya Hamas nje ya Palestina alidai kukabiliana na njama mpya za utawala wa Kizayuni kuhusiana na kuwafukuza wakazi wa Ukingo wa Magharibi…