mamlaka ya upinzani ya Palestina; Jihad Islami imemtatiza sana Netanyahu
Faraan: Hali ya mshangao ya utawala wa Kizayuni mjini Jenin ni ya kipekee na ya kutia matumaini, kuanzia kwa Netanyahu, ambaye hajapumzisha kichwa chake kwa mda wa miezi kadhaa na mara kwa mara husubiria tukio hilo, ambalo bila shaka linaonekana chini ya chapa ya “mshangao na wa kipekee.” “katika hali mpya. Uchambuzi: – Mwanzo wa…
Wapalestina wahudhuria kwa wingi katika hafla ya mazishi ya mashahidi hii leo mjini Jenin
Idadi kubwa ya Wapalestina walishiriki katika hafla ya mazishi ya mashahidi wa kambi ya Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hii leo. Asubuhi ya leo (Jumatatu) vikosi vya mapambano vya Palestina kufuatia shambulio la askari wa utawala wa Kizayuni katika kambi ya Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan vimewashambulia na kuwakamata…
Falsafa ya Kutoa Ushahidi wa Kweli – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Juni, 16 2023 HOTUBA YA KWANZA: FALSAFA YA KUTOA USHAHIDI WA KWELI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…
UNICEF: Zaidi ya watoto milioni moja wa Sudan wahama makazi yao baada ya vita
Mzozo nchini Sudan umewakosesha makazi zaidi ya watoto milioni moja katika kipindi cha miezi miwili, ambapo takriban robo yao wamekua katika jimbo la Darfur. Kwa mujibu wa ripoti za habari, Khartoum na maeneo kadhaa nchini Sudan yameshuhudia mapigano makali kati ya jeshi linaloongozwa na Abdul Fattah al-Barhan, kamanda wa jeshi la Sudan, na majibu ya…
Taliban: Tunazungumza na Iran kuhusu Haqaba Hirmand
Kaimu Waziri Mkuu wa kundi la Taliban alisema katika kikao na mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan kwamba kundi hilo litatatua wasiwasi wa Iran kuhusu haki ya maji ya Mto Hirmand kupitia mazungumzo. Maulvi Abdul Kabir, naibu wa kisiasa na kaimu waziri mkuu wa Taliban, katika mkutano na mkuu wa UNAMA, alidai…
Makabiliano ya silaha ya Muqawama dhidi ya shambulio kubwa la Wazayuni mjini Jenin / kijana mmoja wa Kipalestina ajeruhiwa
Majeshi ya muqawama wa Palestina yamekabiliana nao kufuatia mashambulizi makubwa ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika miji ya Nablus na Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan mnamo Jumamosi asubuhi. Kwa mujibu wa ripoti za vyanzo vya Palestina, mwanajeshi kijana wa vikosi vya muqawama amejeruhiwa katika mapigano makali ya silaha ya vikosi vya…
Mkanganyiko wa Wazayuni katika habari ya uwezekano wa kupatikana makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Kufuatia kuchapishwa kwa ripoti inayodaiwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni kuhusiana na uwezekano wa kutiwa saini makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani, Waziri wa Vita wa utawala huu ghasibu, katika kujaribu kuweka vizuizi katika kuzuia uwezekano wa kufikia makubaliano aina yoyote katika suala hili; alisema kuwa Alhamisi hii atazungumza na…
Hamas: Kuharibu nyumba za wafungwa ni kitendo cha kigaidi
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) ilitangaza kuwa, kitendo cha adui cha kuharibu nyumba ya Osama al-Tawil, ambaye mmoja wa wafungwa wa Kipalestina na mmoja wa watekelezaji wa operesheni ya Shafi Shimron; ni cha kigaidi. Hazem Qassem, ambaye ni msemaji wa Hamas amesema kua Vitendo vya wavamizi hao vilizidisha hamasa zaidi ya wapiganaji…