Ulimwengu wa Kiislamu

Viongozi wa Yemen wasifu misimamo ya Imam katika kuwaunga mkono wanaodhulumiwa duniani

Viongozi wa Yemen wasifu misimamo ya Imam katika kuwaunga mkono wanaodhulumiwa duniani

Ubalozi wa Iran mjini Sana’a ulifanya hafla ya kuadhimisha mwaka wa 34 wa kifo cha Imam Khomeini (RA), ambaye ni muasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambapo viongozi wengi wa kisiasa na kijamii walihudhuria hafla hii. Washiriki wamesisitiza umuhimu wa kushikamana na misingi na misimamo ya mapinduzi ili kukabiliana na maadui wa taifa la Kiislamu. “Ali…

Ilani ya maisha halisi ya Ali (a) sio sawa na maisha yaliojengeka  juu ya uwongo – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Ilani ya maisha halisi ya Ali (a) sio sawa na maisha yaliojengeka  juu ya uwongo – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Juni 6, 2023   HOTUBA ya 1: Rabetu – Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii  Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…

Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu

Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu

Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Ja’fari mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya amesema: Fikra za Imam Ruhullah Khomeini zinatia matumaini mema na ni nguzo ya kuwawezesha na kuwapa nguvu Waislamu duniani. Sheikh Ali Saeed amesema hayo katika mahojiano na ripota wa Iranpress mjini Nairobi akizungumzia athari za fikra za mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu…

Mwanahabari wa Al-Alam ameripoti kuhusu hofu ya ulipizaji wa kisasi wa utawala wa Israel ya  kutokana na shambulio lililofanyika katika ardhi ya Lebanon

Mwanahabari wa Al-Alam ameripoti kuhusu hofu ya ulipizaji wa kisasi wa utawala wa Israel ya kutokana na shambulio lililofanyika katika ardhi ya Lebanon

Utawala unaowakalia kwa mabavu wa Kizayuni uliwauwa wanajeshi 5 wa eneo hili na kuwajeruhi wengine 10 kwa shambulio la anga kwenye makao makuu ya chama cha Popular Front for the Liberation of Palestina katika mji wa Qousia mashariki mwa Lebanon, lakini ukakataa kukubali shambulio hilo. Ripota kutoka kituo cha habari cha Al-Alam aliripoti kutoka Beirut…

Filippo Grandi atembelea kivuko cha mpaka kati ya Misri na Sudan, kukagua juhudi za kutoa misaada

Filippo Grandi atembelea kivuko cha mpaka kati ya Misri na Sudan, kukagua juhudi za kutoa misaada

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi jana Jumapili alitembelea kivuko cha mpaka wa Misri na Sudan na kuangalia juhudi za misaada zinazotolewa na UNHCR na Misri. Hayo yameripotiwa na televisheni ya taifa ya Misri ambayo pia imesema: Filippo Grandi aliishukuru serikali ya Misri kwa kupokea maelfu ya Wasudan na…

Jabali akutana na Nakhale: vuguvugu la kuunda masimulizi ya ukinzani ni hitaji la kimsingi

Jabali akutana na Nakhale: vuguvugu la kuunda masimulizi ya ukinzani ni hitaji la kimsingi

Huku akitoa pongezi kwa ushindi wa hivi karibuni wa muqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni katika kikao na kiongozi wa Jihad ya Kiislamu ya Palestina, Peyman Jabali alitangaza uwekaji wa masharti ya muqawama dhidi ya utawala huo ghasibu kuwa ni ushindi mkubwa, wa kudumu na wa mafunzo. Katika mkutano huo ambao umefanyika ikiwa…

Bendera ya utawala wa Kizayuni ikiwa chini ya miguu ya waandamanaji wa Bahrain

Bendera ya utawala wa Kizayuni ikiwa chini ya miguu ya waandamanaji wa Bahrain

Idadi kubwa ya wananchi wa Bahrain walifanya maandamano kupinga kuhalalishwa uhusiano kati ya serikali ya nchi yao na utawala wa Kizayuni katika mji wa Al-Draz ulioko magharibi mwa Manama, mji mkuu wa Bahrain. Tovuti ya habari ya Manama Post iliandika: Maandamano haya yalifanyika siku ya Ijumaa baada ya sala ya Ijumaa katika mji wa Al-Draz,…

Dori ya Ucha Mungu Katika Kutatua Mizozo Baina ya Waumini –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Dori ya Ucha Mungu Katika Kutatua Mizozo Baina ya Waumini –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Mei, 26 2023   HOTUBA YA KWANZA:DORI LA UCHA MUNGU KATIKA KUTATUA MIZOZO BAINA YA WAUMINI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha…