Ansarullah: Vita vya Sudan ni mwendelezo wa vita vya Yemen / Msimamo mbaya wa Washington katika mazungumzo kati ya Riyadh na Sana’a
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa: Mgogoro wa Sudan ni sawa na mgogoro wa Yemen, na wale wanaopigana huko Sudan leo walipigana huko Yemen kabla ya hapo. “Mohammed Al-Bakhiti” alisema katika mahojiano na mtandao wa Al-Mayadeen kwamba mgogoro wa Sudan uko kando ya mstari wa mgogoro wa Yemen,…
Kuanza tena mashambulizi ya Wazayuni kwenye Msikiti wa Al-Aqsa baada ya Ramadhani
Mivutano mipya inazuka katika Msikiti wa Al-Aqsa sambamba na kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sababu ni kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel baada ya kukabiliwa na hatari ya kufunguka medani mpya za mapambano kutokea Gaza, kusini mwa Lebanon na Golan ya Syria kwa ajili ya kuzuia mashambulizi na uvamizi zaidi wa…
UN yafanya juhudi za usimamishaji vita wa kudumu nchini Sudan
Farhan Haq, naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali nchini Sudan inapaswa kudhibitiwa haraka iwezekanavyo, na kwamba Umoja wa Mataifa unafanya jitihada za kupatikana usitishaji vita wa muda mrefu zaidi nchini humo. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, matamshi hayo ya naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa yamekuja huku Katibu Mkuu…
Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa la kuondoa marufuku ya elimu kwa wanawake na wasichana nchini Afghanistan
Azimio la Umoja wa Mataifa linalowataka wapiganaji wa Taliban kuondoa haraka vikwazo vinavyoongezeka kwa wanawake na wasichana na kulaani marufuku ya wanawake wa Afghanistan wanaofanya kazi katika Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupigiwa kura na Baraza la Usalama siku ya Alhamisi. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, kilichonukuliwa na Associated Press, leo (Alhamisi) azimio litapigiwa kura…
Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina
Maelfu ya Wazayuni wameendelea na maandamano yao ya kumpinga waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, katika miji ya Quds na Tel Aviv licha ya kuweko sherehe za miaka 75 ya kuasisiwa utawala haramu na pandikizi wa Israel. Tangu miezi minne nyuma, Wazayuni wanafanya maandamano kila wiki kupinga marekebisho ya serikali ya Benjamin Netanyahu…
Wanamambano kutoka Gaza walifanyia majaribio kombora la kutoka ardhini hadi angani
Vyanzo vya habari viliripoti majaribio ya kombora la kutoka ardhini hadi angani huko Gaza na vikosi vya upinzani. Vyanzo vya ndani vya Gaza vimeripoti leo (Alhamisi) jaribio la kombora la kutoka ardhini hadi angani katika anga ya eneo hili. Kwa mujibu wa Shahab News, kombora hili lilirushwa kuelekea baharini na baada ya hapo, sauti ya…
Balozi wa Palestina nchini Iran: Wakati umewadia kwa taifa madhulumu la Palestina kukombolewa na kupata uhuru
Salam Zawawi, balozi wa Palestina mjini Tehran amesema: Wakati umefika kwa taifa kubwa la Palestina kukombolewa na kusali pamoja katika Msikiti wa Al-Aqswa. Salam Zawawi, katika mahojiano na kituo cha habari cha Ofisi ya Hifadhi na Uchapishaji wa Kazi za Kiongozi Muadhamu, yaliyofanyika Jumamosi (Mei 2) pembezoni mwa kikao cha viongozi wa nchi na mabalozi…
Amir-Abdollahian: Oman ina ubunifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali ya Oman ina ubumifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran, ubunifu ambao utasaidia kurejea mazungumzo katika suala hilo. Hossein Amir-Abdollahian amesema hayo akiwa ziarani nchini Oman jana Jumanne ambapo alipokewa na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Oman na…