Dua ya Imam Sajjad ya Kuaga Mwezi wa Ramadhan – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 21, 2023 HOTUBA YA 1 NA YA 2: DUA YA IMAM SAJJAD YA KUAGA RAMADHANI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…
Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo. Hujjatul Islam wal Muslimin Sheikh Kazem Seddiqi amesema hayo leo mbele ya hadhara kubwa…
Zaidi ya waumini 100,000 wahudhuria swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa
Makundi tofauti ya wananchi wa Palestina wamefanya ibada ya Swala ya Eid al-Fitr katika maeneo tofauti ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu Ijumaa asubuhi ya leo. Takriban watu 120,000 waliswali swala ya Idi katika Msikiti wa Al-Aqsa. Licha ya utayarifu kamili wa jeshi la Kizayuni katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu na kuunda vizuizi vya kijeshi na…
Maelezo ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa wa Yemen kutoka kwa maneno ya mkuu wa kamati ya masuala ya wafungwa wa Yemen
Mkuu wa Kamati ya Wafungwa wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu ya Yemen amesisitiza kuwa Mabadilishano ya wafungwa wa Yemen ni oparesheni ya pili kwa ukubwa ni zoezi la kubadilishana wafungwa lililofanyika kupitia Umoja wa Mataifa na zoezi hili lilidumu kwa mda wa siku 3. Katika oparesheni hii, zaidi ya wafungwa 700 kutoka jeshi na…
Maelfu wakimbia Sudan huku usitishaji mapigano ukigonga mwamba
Maelfu ya wananchi wa Sudan wanakimbia mapigano yanayoendelea nchini humo leo yakiingia katika siku ya sita baada ya kugongwa mwamba jitihada za kusitisha mapigano. Hii ni mara ya pili ambapo usitishaji vita unakiukwa huko Sudan kati ya jeshi la taifana kundi lenye nguvu la wanajeshi wa Kikosi cha Radiamali ya Haraka (RSF). Maelfu ya wakazi…
Mapigano yameanza tena katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa mapigano yamezuka upya kati ya vikosi vya jeshi la Sudan vinavyoongozwa na Jenerali Abdel-Fattah al-Barhan na vikosi vya Radiamali ya Haraka RSF vinavyoongozwa na Mohammed Hamdan Daghlo maarufu kama Hamidati katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum. Chaneli ya televisheni ya Al-Jazeera imetangaza mapema leo kuwa mapigano kati ya…
Mapigano ya kutumia silaha katika kambi ya Jenin/ Wapalestina 8 wajeruhiwa
Duru za Palestina zimeripoti kuwa, Wapalestina 8 walijeruhiwa kwa risasi za kivita katika mapigano ya silaha kati ya wapiganaji wa muqawama na wanajeshi wa Kizayuni katika kambi ya Jenin. Wanajeshi wa Israel walivamia nyumba za raia wa Palestina na wavamizi waliwekwa kwenye paa za baadhi ya nyumba. Duru za Palestina zilizonukuliwa na redio ya utawala…
Funga Iwe Chachu ya Kuhuisha Hisia za Kusimama Dhidi ya Dhulma na Uonevu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 14, 2023 HOTUBA YA 1: SIKU ISHIRINI ZA MWANZO ZA MWEZI WA RAMADHAN NI MAANDALIZI KWA AJILI YA SIKU KUMI ZA MWISHO Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi…