Ulimwengu wa Kiislamu

Sana’a: Awamu ifuatayo ya mazungumzo na Riyadh itafanyika baada ya Eid al-Fitr

Sana’a: Awamu ifuatayo ya mazungumzo na Riyadh itafanyika baada ya Eid al-Fitr

Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen alitahadharisha kuwa, iwapo muungano wa Saudia na Marekani unafikiria kuanzisha tena mizozo ya kijeshi na kukwamisha mchakato wa amani, basi wanapaswa kujua kwamba Yemen ndiyo inayoongoza. Mehdi Al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen, aliwafahamisha viongozi wa nchi hii juu ya mazungumzo yaliyofanyika wiki iliyopita…

Ujumbe wa Siku ya Quds; Umoja wa pande za upinzani dhidi ya wavamizi wa Kizayuni

Ujumbe wa Siku ya Quds; Umoja wa pande za upinzani dhidi ya wavamizi wa Kizayuni

Weledi wa mambo wanasema kuwa, maandamano ya Siku ya Quds mwaka huu yalikuwa tofauti na ya miaka ya nyuma kwa sababu yalifanyika huku kutimia kwa ndoto ya uhuru wa Palestina kukiwa karibu sana. Sababu ya tatizo hili ni uwezeshaji wa mhimili wa upinzani na umoja wa mashamba, au umoja wa mipaka ya mhimili huu. Wataalamu…

Mjumbe wa Baraza Kuu la Yemen: Tumejiweka tayari kwa chaguo lolote lile itakaloamua Saudia

Mjumbe wa Baraza Kuu la Yemen: Tumejiweka tayari kwa chaguo lolote lile itakaloamua Saudia

Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema, “tumejiweka tayari kwa machaguo yote; ikiwa muungano wa Saudia utataka suluhu, sisi ni watu wa suluhu na ikiwa wanataka vita pia, sisi tumepata uzoefu wake kwa miaka minane”. Siku mbili zilizopita, jumbe za Saudi Arabia na Oman ziliwasili mji mkuu wa Yemen, Sana’a kwa lengo la kukutana…

Utawala wa Kizayuni ukilekea kusambaratika na Quds ikiwa katika hali ya kupata uhuru

Utawala wa Kizayuni ukilekea kusambaratika na Quds ikiwa katika hali ya kupata uhuru

Baraza la Walinzi limetangaza katika taarifa yake kwamba vikosi vya muqawama vya Palestina na nchi za Kiislamu vimeungana zaidi kuliko ilivyokuwa hapo mwanzoni na kwamba, adui ambaye ni Mzayuni anakaribia zaidi dhana ya “kuporomoka” na “maangamizi” katika hali yake ya ukosefu wa utulivu. Kwa mujibu wa kambi ya habari ya Baraza la Walinzi, katika taarifa…

Mihadhara kutoka kwa shakhsia tofauti tofauti ulimwenguni na mhimili wa upinzani katika mpango wa  “Minbar ya al-Quds al-alami”

Mihadhara kutoka kwa shakhsia tofauti tofauti ulimwenguni na mhimili wa upinzani katika mpango wa “Minbar ya al-Quds al-alami”

Katika mkesha wa Siku ya Quds Duniani, Mitandao ya Habari ilianza kuwasilisha maoni ya viongozi na shakhsia wa kisiasa wa Ulimwengu wa Kiislamu kuhusu Quds katika harakati ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama kwa kutangaza moja kwa moja kipindi cha “Minbar ya al-Quds”. . Katibu Mkuu wa Islamic Jihad: Tunafanya upya…

Ziwacheni Huru Roho Zenu kwa Kutubu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Ziwacheni Huru Roho Zenu kwa Kutubu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 7, 2023 HOTUBA YA 1: ZIWACHENI HURU ROHO ZENU KWA KUTUBU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Mkuu wa CIA: Marekani imesikitishwa na kuboreka uhusiano wa Saudia na Iran, Syria

Mkuu wa CIA: Marekani imesikitishwa na kuboreka uhusiano wa Saudia na Iran, Syria

Mkurugenzi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani, CIA, William Burns ameripotiwa kusikitishwa na hatua ya Saudi Arabia kufikia mapatano ya kurejesha uhusiano na Iran na Syria huku weledi wa mambi wakiashiria kupungua kwa ushawishi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi. Kwa mujibu wa gazeti la Wall Street Journal, mkuu huyo wa ujasusi nchini…

Hotuba ya Mtume, Manifesto ya Muongozo Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Mtume, Manifesto ya Muongozo Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 31, 2023   HOTUBA YA KWANZA: HOTUBA YA MTUME, MANIFESTO YA MUONGOZO KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja…