Ni Kwanini Wasomi Wengi Hufuatilia Habari za Mwandamo wa Mwezi – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 24, 2023 HOTUBA YA KWANZA: FUNGA NI KWA AJILI YA UTAKASO, QURAN NI KWA AJILI YA KUPALILIA Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu,…
Aghalabu ya nchi za Kiislamu zatangaza Alhamisi kuwa siku ya kwanza ya Ramadhani
Nchi nyingi za Kiislamu katika eneo la Asia Magharibu au Mashariki ya Kati zimetangaza Alhamisi, Machi 23, kuwa mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Kamati ya Istihlal (kuutafuta mwezi mwandamo) ya Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa Alhamisi ya kesho 23 Machi itakuwa siku ya…
Palestina yaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kumkamata waziri wa fedha wa Israel
Katika kujibu kauli ya waziri wa fedha wa Israel kwamba “hakuna kitu kama taifa la Palestina,” Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina ilitoa wito kwa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu kumtia mbaroni. Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina ilitangaza siku ya Jumatatu kuwa itaiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kumkamata, kujibu kauli ya…
Kiongozi Muadhamu: Maadui wanataka kubadilisha utambilisho wetu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maadui wanapinga Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini (MA), na maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu kila mwaka, sambamba na kuupinga mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran; na kusisitiza kuwa, lengo la maadui ni kubadilisha utambulisho wa taifa hili na Mapinduzi ya Kiislamu, na badala yake walete demokrasia bandia…
Mapitio ya mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi
Katika siku ya kwanza ya mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi kumetiwa saini hati 20 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii. Mkutano wa Kimataifa wa Ushirikiano wa Sayansi na Uchumi baina ya Iran na nchi za Afrika magharibi ulianza jana Jumatatu hapa mjini…
Safari ya Rais Assad UAE: Syria kurejea tena katika Jumuiya ya Arab League
Rais Bashar al-Assad wa Syria jana aliwasili katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu na kulakiwa rasmi na Rais Mohammed bin Zayed al-Nahyan ikiwa ni ishara ya wazi ya kuhuishwa uhusiano wa Syria na mataifa ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi baada ya zaiidi ya muongo mmoja. Hii ni ziara ya pili ya Rais…
Baada ya mihadarati ya kasumba, Taliban yapiga marufuku ulimaji bangi Afghanistan
Baada ya kupigwa marufuku ulimaji wa mipopi, mmea unaozalisha mhadarati wa kasumba, kwa amri ya kiongozi wa Taliban, ulimaji wa mimea ya bangi pia umepigwa marufuku nchini Afghanistan. Serikali ya Taliban imetangaza rasmi kuwa, kwa mujibu wa hukumu ya Mullah Hebatullah Akhundzadeh, kuanzia sasa kilimo cha mmea wa bangi ni marufuku nchini humo, na kwamba ikiwa itashuhudiwa kilimo…
Namna Ya Kusaidiana Katika Wema na Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 17, 2023 HOTUBA YA 1:NAMNA YA KUSAIDIANA KATIKA WEMA NA UCHA MUNGU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…