Bolton: Tumekaa kimya katika kipindi ambacho Iran, China na Russia zinaimarisha mahusiano
Mshauri huyo wa zamani wa masuala ya usalama wa Marekani aliionya serikali ya Marekani kwamba kwa sasa mazingatio yetu yapo katika kuimarika kwa uhusiano kati ya Iran, China na Urusi. John Bolton, mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, aliionya serikali ya Marekani kwamba anatazama tu kupanuka kwa uwezo wa China duniani na…
Sudan kususia sarafu ya dola ya Marekani katika biashara na Russia
Sudan inatafakari kusitisha matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani katika miamala yake ya kibiashara na Russia. Hayo yamesemwa na Hassan Mohammed Elghazali Eltijani Sirraj, Balozi wa Sudan nchini Russia katika mahojiano na shirika la habari la RIA Novosti na kuongeza kuwa, Khartoum ina hamu ya kuimarisha biashara na Russia. Kwa mujibu wa mwanadiplomasia huyo, Benki…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akosoa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu
Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani. Akihutubia mkutano maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Uenezaji Chuki Dhidi ya Uislamu, Antonio Guterres alisema: Kuna idadi ya Waislamu karibu bilioni mbili duniani ambao…
Maoni tofauti kuhusu makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia
Taasisi na nchi mbalimbali zilikua na maoni tofauti kuhusu makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia. Qatar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amempongeza Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran kwa kufikiwa kwa mapatano hayo. Siku ya Ijumaa, Mohammad bin Abdulrahman Al-Thani, katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iran, alieleza kuridhishwa kwake…
Makubaliano ya kurejesha uhusiano wa pande mbili kati ya Iran na Saudi Arabia
Iran na Saudi Arabia zimefikia makubaliano ya kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia na kufungua tena balozi, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo kutokana na masuala kadhaa. Makubaliano hayo yaliafikiwa Ijumaa katika mji mkuu wa China, Beijing, baada ya siku kadhaa za mazungumzo magumu kati ya Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la…
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lilikaribisha makubaliano hayo kati ya Tehran na Riyadh
Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi amekaribisha taarifa ya pande tatu kati ya Iran, Saudi Arabia na China kuhusiana na kurejeshwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Riyadh na Tehran. Kwa mujibu wa ripoti, Jassem Al-Badawi, Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ameeleza matumaini yake kuwa, kurejea…
Maoni ya Ansarullah kuhusu makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia
Kufuatia kutangazwa kwa makubaliano yanayotakiwa kuanza tena ambayo ni uhusiano wa kidiplomasia kati ya Iran na Saudi Arabia, msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ameunga mkono makubaliano hayo na kusema: eneo linahitaji kurejeshwa uhusiano wa kawaida kati ya nchi hizo. Kwa mujibu wa ripoti ya Al-Alam, “Mohammed Abdul Salam”, msemaji wa Harakati ya Ansarullah…
Ubora Wa Mtu Kwa utu Sio Kwa Rangi Ya Ngozi Yake – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 3, 2023 Hotuba ya 1: Ubora Wa Mtu Kwa utu Sio Kwa Rangi Ya Ngozi Yake Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni…