Ulimwengu wa Kiislamu

Hatua ya Umoja wa Ulaya kwa ukhaini wa Wazayuni kwa Mwakilishi wa Bunge la Ulaya

Hatua ya Umoja wa Ulaya kwa ukhaini wa Wazayuni kwa Mwakilishi wa Bunge la Ulaya

Umoja wa Ulaya ulieleza kusikitishwa kwake na hatua ya utawala wa Kizayuni kumzuia “Ana Miranda”, mwakilishi wa Uhispania wa Bunge la Ulaya kuingia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, na ukaichukulia hatua hiyo ya Waisraeli kuwa ni kuutukana Umoja huo. “Nabileh Misrali”, msemaji wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya, katika mazungumzo na waandishi wa…

Urusi: Israel imeshambulia kwa mabomu Damascus kwa kutumia ndege nne za kivita za F-16

Urusi: Israel imeshambulia kwa mabomu Damascus kwa kutumia ndege nne za kivita za F-16

Naibu wa Kituo cha Urusi cha Maridhiano ya Vikosi vya Uadui nchini Syria kinachojulikana kwa jina la “Hamimim” alitangaza kuwa shambulio la Israel mjini Damascus siku ya Jumapili asubuhi lilitekelezwa na ndege nne za kivita za F-16. Oleg Igorov, naibu wa Kituo cha Urusi cha Maridhiano ya Vikosi vya Uhasama nchini Syria kinachojulikana kama “Hamimim”…

Iran inajiandaa kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya

Iran inajiandaa kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ndani ya siku chache zijazo itatoa jibu la vikwazo vya hivi karibuni vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 32 na taasisi mbili za Jamhuri ya Kiislamu. Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema karibu hivi, Iran itachapisha orodha mpya ya shakhsia…

Netanyahu: Tutaanzisha uhusiano na Saudi Arabia ili kuidhibiti Iran

Netanyahu: Tutaanzisha uhusiano na Saudi Arabia ili kuidhibiti Iran

Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alitangaza kuwa utawala huu unajaribu kuanzisha uhusiano na Saudi Arabia ili “kuidhibiti Iran”. Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni leo (Jumatatu) amepongeza kuanzishwa uhusiano (kutangaza uhusiano) na serikali ya Saudi Arabia katika kongamano la wakuu wa mashirika ya Kiyahudi ya Marekani huko Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu. Kwa…

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi – Imam Musa Al-Kadhim (a), Ruwaza Njema inayofaakuigwa

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi – Imam Musa Al-Kadhim (a), Ruwaza Njema inayofaakuigwa

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Februari 17, 2023   Hotuba ya 1: Uimamu, somo muhimu lililofumbiwa macho Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Wapalestina kadhaa watiwa mbaroni katika shambulio la Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Wapalestina kadhaa watiwa mbaroni katika shambulio la Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Wanajeshi hao wa Kizayuni wanaoikalia kwa mabavu waliwatia mbaroni Wapalestina kadhaa kwa kushambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Wanajeshi wa utawala huo ghasibu walivamia nyumba ya raia wa Palestina aitwaye Mohand Al-Kaabi katika kambi ya Askar al-Jadeed mashariki mwa Nablus na kumkamata. Wazayuni hao pia waliwatia mbaroni raia kadhaa wa Palestina…

Taqwa ndio mbinu bora ya kulinda Ubinadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Taqwa ndio mbinu bora ya kulinda Ubinadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan                                                          …

Assad akosoa undumakuwili wa Magharibi kuhusu hali ya kibinadamu katika Syria iliyokumbwa na zilzala

Assad akosoa undumakuwili wa Magharibi kuhusu hali ya kibinadamu katika Syria iliyokumbwa na zilzala

Rais wa Syria Bashar al-Assad amekosoa misimamo ya kundumakuwili ya nchi za Magharibi katika kukabiliana na wahanga wa mitetemeko mikubwa ya ardhi iliyokumba Syria na Uturuki, akisema mataifa ya Magharibi hayajali hali ya kibinadamu nchini kwake. Assad aliyasema hayo Ijumaa katika hotuba yake wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi. Rais Assad amesema, “Unduakuwili…