Misikiti ni sehemu ya mahusiano ya kijamii na Sehemu Muwafaka kwa ajili ya kuufikia utukufu wa kiroho – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Januari 27, 2023 Mahubiri ya 1: Misikiti ni sehemu ya mahusiano ya kijamii na Sehemu Muwafaka kwa ajili ya kuufikia utukufu wa kiroho Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi…
Waislamu Uingereza waandamana kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu
Waislamu wa Uingereza wamekusanyika mbele ya uubalozi wa Sweden mjini London wakilaani kitendo kiovu cha nchi hiyo ya Ulaya cha kuruhusu kudhalilishwa na kuvunjiwa heshika kitabu kitakatifu cha Qur’ani. Ni baada ya vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu siku za Jumamosi iliyopita nchini Uswidi ambapo watu wenye misimamo mikali walivunjia heshima na kuchoma moto nakala ya…
Ufalme Bahrain wazuia maandamani ya kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu
Kundi kuu la upinzani nchini Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, limelaani utawala unaotawala wa kifalme wa ukoo wa Al Khalifa kwa kuwazuia Waislamu kufanya maandamano ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur’ani barani Ulaya. Siku ya Ijumaa, vikosi vya usalama vya Bahrain viliwakamata makumi ya raia waliokuwa wakienda kufanya maandamano hayo. Pia walifunga njia…
Wamauritania watoa wito wa kususiwa bidhaa za Uswidi baada ya kuvunjiwa heshima Qur’ani
Wananchi wa Mauritania wametoa wito wa kukatwa uhusiano kati ya nchi za Kiislamu na Uswidi kupinga kutendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu. Ni baada ya vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu siku za Jumamosi na Jumapili iliyopita katika nchi Uswidi na Uholanzi, ambapo watu wenye misimamo mikali walivunjia heshima na kuchoma moto nakala ya Qur’ani Tukufu…
Kwa mara ya kwanza nchini Afrika Kusini, Muislamu awa Meya wa Jiji la Johannesburg
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika Kusini, diwani Muislamu kutoka chama kidogo cha Al Jama-ah amechagualiwa kuwa Meya wa Jiji la Johannesburg, kitovu cha biashara cha nchi hiyo. Thapelo Amad, amepigiwa kura na baraza la jiji kuchukua nafasi ya meya Mpho Phalatse, mwanachama wa chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance…
Mtaalamu wa UK: Magharibi imerudi kwenye zama za giza za uchomaji vitabu
Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa wa Uingereza amesema kuhusiana na kitendo cha hivi karibuni cha Wamagharibi cha kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu kwamba, jamii ya Magharibi imerejea katika zama za giza za uchomaji vitabu. Makundi kadhaa yenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini Sweden hivi karibuni yalifanya kitendo cha kifidhuli cha kuichoma moto nakala ya Qur’ani…
Licha ya njama, Qur’ani Tukufu inazidi kung’aa kila siku na mustakabali ni wa Uislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: “Kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya ‘uhuru wa maoni’ ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur’ani Tukufu.” Kwa mujibu wa tovuti taarifa katika akaunti ya Twitter khamenei.ir, Kiongozi Muadhamu wa…
Kiongozi wa Kishia Bahrain: Kuchomwa moto Qur’ani hakuna uhusiano wowote na uhuru wa maoni
Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini Bahrain Sheikh Isa Qassim amelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur’ani Tukufu hivi karibuni katika nchi za Ulaya. Sheikh Qassim amesema katika taarifa yake kwamba, “Kitendo cha kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu kilichotekelezwa na mtu mwenye msimamo mkali, anayejulikana kama Rasmus Paludan – kiongozi wa Chama cha Stram…