Ulimwengu wa Kiislamu

Maonyesho ya ‘Sarafu na nyaraka za kale za Kiislamu’ yafanyika Rabat

Maonyesho ya ‘Sarafu na nyaraka za kale za Kiislamu’ yafanyika Rabat

Rabat mji mkuu wa Morocco unaandaa maonyesho ya ‘Sarafu na nyaraka za kale za Kiislamu’ pembezoni mwa kikao cha 43 cha Baraza la Utendaji la Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Kiislamu (ISESCO). Maonyesho hayo yaliyozinduliwa na Mkurugenzi Mkuu wa ISESCO, Salem bin Muhammad Al-Malik, yanaonyesha ‘Sarafu na nyaraka za kale za Kiislamu’ zinazomilikiwa…

Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8

Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8

Wavuvi 14 Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia wamewasili  nchini Iran baada ya kuachiwa huru. Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza habari hiyo na kueleza kuwa, mabaharia hao waliokuwa wametekwa nyara na wanamgambo wa al-Shabaab miaka minane iliyopita wameachiwa huru kutokana na jitihada za kidiplomasia…

Al-Azhar: Hatua ya Taliban kuwazuia wanawake kusoma vyuo vikuu ni kinyume cha sheria za Kiislamu

Al-Azhar: Hatua ya Taliban kuwazuia wanawake kusoma vyuo vikuu ni kinyume cha sheria za Kiislamu

Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri ameutaka utawala wa Taliban kuondoa marufuku ya elimu ya juu kwa wanawake nchini Afghanistan. Sheikhe Mkuu wa Al-Azhar , Sheikh Ahmed El-Tayeb Al-Azhar amesema  amesikitishwa sana na uamuzi wa Taliban wa kuwapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kutoendelea na masomo ya chuo kikuu. Katika taarifa yake…

Nchi za Kiislamu zalaani Taliban kuwazuia wanawake Afghanistan kusoma vyuo vikuu

Nchi za Kiislamu zalaani Taliban kuwazuia wanawake Afghanistan kusoma vyuo vikuu

Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imebainisha masikitiko yake kuhusu uamuzi wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan kuwapiga marufuku wanawake kuendelea na elimu katika vyuo vikuu nchini humo. OIC imesema katika taarifa yake kwamba Katibu Mkuu wa jumuiya Hissein Brahim Taha analaani hatua hiyo. Katibu mkuu na mjumbe wake maalum walikuwa wameonya dhidi…

Wafungwa wa Ethiopia nchini Saudi Arabia wanalazimika kuchoma nywele zao

Wafungwa wa Ethiopia nchini Saudi Arabia wanalazimika kuchoma nywele zao

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limechapisha kipande cha video kinachoonyesha kuwa wafungwa wa Ethiopia nchini Saudi Arabia wanalazimika kunyoa nywele zao kwa kuzichoma moto kutokana na ukosefu wa vifaa vya usafi katika magereza hayo. Kurasa za upinzani za Twitter zimenukuu shirika la Amnesty International likisema kuwa mamlaka ya Saudia haitoi sabuni…

Chile yaanzisha ubalozi nchini Palestina

Chile yaanzisha ubalozi nchini Palestina

Rais wa Chile, Gabriel Borich, alitangaza jana usiku kuwa nchi yake inapanga kuboresha ofisi yake ya mwakilishi wa kisiasa nchini Palestina hadi kufikia kiwango cha ubalozi. Kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Al-Quds Al-Arabi la kimkoa siku ya Alkhamisi, Borich alieleza hayo katika hotuba yake katika sherehe za kuzaliwa Yesu Kristo, amani iwe juu…

Irawani: Wale wanaodai kutetea haki za kibinadamu wanapaswa kuwakubali wakimbizi wa Afghanistan

Irawani: Wale wanaodai kutetea haki za kibinadamu wanapaswa kuwakubali wakimbizi wa Afghanistan

Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Iran na majirani wengine hawapaswi kuwajibika kikamilifu kuwapokea wakimbizi wa Afghanistan. Kwa kuzingatia kanuni ya uwajibikaji wa pamoja, nchi nyingine, hasa zile zinazodai kulinda haki za binadamu za watu wa Afghanistan, hasa wanawake na wasichana, zinapaswa kuwakubali wakimbizi. Amir Saeed Irawani, Balozi na…

Zaidi ya wanafunzi 10,000 wahudhuria Mashindano ya Qur’ani huko Palestina

Zaidi ya wanafunzi 10,000 wahudhuria Mashindano ya Qur’ani huko Palestina

Mashindano ya usomaji wa Qur’ani na Tajweed yaliyoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule yamehitimishwa nchini Palestina. Zaidi ya wavulana na wasichana 10,000 wanaosoma katika shule mbali mbali walishiriki katika mashindano hayo. Mashindano hayo yameandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Wakfu  ya nchi hiyo na Wizara ya Masuala ya Kidini na Elimu. Walishindana katika kategoria…