Raisi: Jina la shahid Soleimani ni nembo ya mapambano dhidi ya ugaidi duniani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika sherehe za kuadhimisha mwaka wa tatu wa tangu kuanza kurusha matangazo yake redio ya muqawama kwamba, leo hii jina la shahid Soleimani ni nembo ya muqawama na kusimama kidete katika kupambana na ugaidi ulimwenguni. Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi…
Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa leo (Jumatatu) umekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali Sistani katika mji mtakatifu wa Najaf al Ashraf. Ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa unaoongozwa na Christian Ritscher, mshauri wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkurugenzi wa timu ya uchunguzi…
Nakala Adimu ya msahafu yaonyeshwa kwenye maonyesho ya Riyadh
Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz huko Riyadh, Saudi Arabia, imeandaa maonyesho ya nakala adimu za Qur’ani Tukufu. Maonyesho hayo yalifanyika Jumapili, Desemba 18, ambayo yaliadhimisha Siku ya Umoja wa Mataifa ya Lugha ya Kiarabu. Jumla ya Qur’ani Tukufu 267, nyingi kati ya hizo ni za karne ya 10 hadi 13 Hijria, zilionyeshwa kwenye maonyesho…
Mwanazuoni mkuu wa Bahrain asisitiza muendelezo wa Jihad, mageuzi
Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini wa Bahrain, Sheikh Isa Qassim amesisitiza kuendelea kwa njia ya Jihad na mageuzi katika nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi. Mwanazuoni huyo mwandamizi ametoa maoni hayo, ambayo yalichapishwa kwenye akaunti yake rasmi ya Twitter, kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi. Hii ni siku ya wanafikra watukufu kufanya upya…
Waislamu Kanada wasaidia wasio na makao msimu wa baridi kali
TEHRAN (IQNA) – Wanachama wa Taasisi ya Misaada ya Kiislamu Kanada wametayarisha mamia ya vifurishi vya misaada maalumu ya majira ya baridi kali kwa ajili ya watu wasio na makazi wa Metro Vancouver siku ya Jumamosi. Ufadhili huo unakuja wakati muhimu, kwani idara ya utabiri wa hali ya hewa Kanada imetabiri kuwa halijoto inaweza kushuka…
Lau milima pia ingempenda Ali ingelivunjika vipande vipande – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul…
Sheikh Qavuq: Netanyahu anahofia kukabiliana na Hizbullah
Mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa, uhusiano kati ya Hizbullah na vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa vilivyoko kusini mwa Lebanon (UNIFIL) ni mzuri na msingi wake ni ushirikiano na uratibu unaoendelea. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Ahed, Sheikh Nabil Qawoq, mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah…
Ayatullah Sistani atoa rambirambi kwa kifo cha Ayatullah Rouhani
Kufuatia kifo cha Faqihi mashuhuri wa madhehebu ya Shia Ayatullah Mohammad Sadeq Rouhani, Marjaa Taqlid wa Iraq Ayatullah Seyed Ali al-Sistani alitoa ujumbe wa rambirambi siku ya Jumamosi. Katika ujumbe wake, Ayatullah Sistani alimsifu marehemu mwanazuoni huyo kwa kutumia miaka mingi ya maisha yake katika kuwafundisha na kuwafunza wanafunzi wa seminari na kuendeleza mafundisho ya…