Ulimwengu wa Kiislamu

Al-Hashd al-Shaabi: Sisi sote ni Qassem Soleimani/ Tunatangaza mwanzo wa msimu wa enzi na kifo cha kishahidi.

Al-Hashd al-Shaabi: Sisi sote ni Qassem Soleimani/ Tunatangaza mwanzo wa msimu wa enzi na kifo cha kishahidi.

Katika kuadhimisha mwaka wa tano wa ushindi dhidi ya ISIS, mkuu wa Jumuiya ya Uhamasishaji Maarufu ya Iraq alisisitiza kwamba maadui wanafanya njama za siri na akasema kwamba sisi sote tunailinda nchi ya Abu Mahdi Al-Muhandis na Qassem Soleimani. “Faleh Al-Fayaz”, mkuu wa Shirika la Uhamasishaji Maarufu la Iraq, amesema leo (Jumapili, Desemba 11) kwa…

Tahadhari kuhusu nakala za Qur’ani Tukufu zilizopotoshwa katika intaneti

Tahadhari kuhusu nakala za Qur’ani Tukufu zilizopotoshwa katika intaneti

Waislamu wametakiwa kuchukua tahadhari kuhusu nakala za Qur’ani Tukufu zilizo katika mitandao ya intaneti na aplikesheni kwani imebainika kuwa baadhi zimepotoshwa kwa makusudi. Jumuiya ya Kiislamu Duniani imetoa taarifa na kutangaza kuwepo nakala za Qur’ani Tukufu zenye makosa na potofu kwenye baadhi ya tovuti zisizojulikana na kusema kwamba wanazuoni wa Kiislamu wanapaswa kuwa na msimamo…

Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan

Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan

Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kulalamikia mbinyo na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Azerbaijan. Waandamanaji hao walikusanyika jana Jumamosi katika Msikiti wa Jamia wa Abuja, ambapo walisikika wakipiga nara dhidi ya vyombo vya dola vya Azerbaijan kwa kuwanyongesha Waislamu wa Kishia hususan…

Kupungua idadi ya Wakristo Magharibi kwaibua changamoto kwa viongozi wa kidini

Kupungua idadi ya Wakristo Magharibi kwaibua changamoto kwa viongozi wa kidini

Kumeibuka mjadala mpya katika nchi za Magharibi kuhusu kuporomoka kwa dini ya Kikristo baada ya sensa ya Waingereza kufichua kwa mara ya kwanza kwamba idadi ya wafuasi wa dini hiyo huko Uingereza na Wales imepungua na kufikia chini ya nusu ya idadi ya watu. Suuala hili pia imeshuhudiwa hivi karibuni huko Marekani, ambayo ni mojawapo…

Palestina; Bingwa wa mapema wa kombe la dunia la kandanda

Palestina; Bingwa wa mapema wa kombe la dunia la kandanda

Vyombo vya habari vya Qatar vimeitaja Palestina kuwa “mshindi wa mapema” wa Kombe la Dunia. Palestina; “ingawaje Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar bado linaendelea, lakini tayari mshindi wa mapema ashapatikana” . Nchi hii imeiba mioyo na akili za mashabiki wa kandanda duniani.” Haya ni maelezo ya Dima Khatib, mkurugenzi mtendaji wa Al Jazeera…

Saudi Arabia: Tunaendeleza mazungumzo na Iran kwa ajili ya kukurubisha uhusiano

Saudi Arabia: Tunaendeleza mazungumzo na Iran kwa ajili ya kukurubisha uhusiano

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, mazungumzo baina ya Iran na nchi yake yana matarajio mazuri na kwamba, nchi yake itaebndeleza mazungumzo na Tehran kwa jili ya kukutrubisha uhusiano. Mnamo mwaka 2016, Saudi Arabia ilivunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Iran kwa kisingizio cha kushambuliwa ubalozi wake mjini Tehran na ubalozi…

Mahmoud Abbas: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa taifa la Palestina

Mahmoud Abbas: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa taifa la Palestina

Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa isishirikiane na serikali haramu za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa watu wa Palestina. Mahmoud Abbas amesema katika kikao cha pamoja cha nchi za Kiarabu na China mjini Riyadh kwamba, Marekani na Uingereza zinapaswa kuwaomba radhi wananchi wa…

Mkutano wa 18 wa kimataifa wa nchi za Kiislamu wafunguliwa Russia kwa salamu za Rais wa Iran

Mkutano wa 18 wa kimataifa wa nchi za Kiislamu wafunguliwa Russia kwa salamu za Rais wa Iran

Mkutano wa 18 wa kimataifa unaofanyika kwa anuani ya “Uislamu, Uadilifu na Mlingano, Misingi ya Dini na Nidhamu ya Ulimwengu” umeanza rasmi katika mji mkuu wa Russia, Moscow na kufunguliwa kwa salamu za Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB, zaidi ya shakhsia…