Ulimwengu wa Kiislamu

Ripoti ya Gazeti la New York Times kuhusu mvutano wa Tel Aviv kwenye mipaka ya ardhi ya Lebanon

Ripoti ya Gazeti la New York Times kuhusu mvutano wa Tel Aviv kwenye mipaka ya ardhi ya Lebanon

Gazeti moja la Marekani liliripoti kuhusu hali tete katika mipaka ya ardhi ya Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuendelea vitendo vya kichochezi vya jeshi la Kizayuni katika mipaka hiyo na kuwateka nyara wachungaji wa Lebanon kwa tuhuma za ujasusi wa Hizbullah. Gazeti moja la Marekani lilichapisha ripoti kuhusu hatua za jeshi la Kizayuni…

Kiongozi Muadhamu asisitizia udharura wa kuondolewa udhaifu wa kiutamaduni

Kiongozi Muadhamu asisitizia udharura wa kuondolewa udhaifu wa kiutamaduni

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni la Iran lina wajibu wa kutambua kwa kina udhaifu na mapendekezo ghalati ya kiutamaduni katika nyuga tofauti na kuzipatia ufumbuzi wa kiutaalamu kwa ajili ya kueneza utamaduni wa kuwa na mapendekezo sahihi na ubunifu unaofaa. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alisema hayo…

Kamata kamata ya Waislamu nchini Uganda yaibua malalamiko

Kamata kamata ya Waislamu nchini Uganda yaibua malalamiko

Waislamu nchini Uganda kutoka makundi yote ya jamii jana Jumatatu walipinga kukamatwa kiholela kwa viongozi wa Waislamu wakati wa uvamizi wa misikiti. Viongozi wa dini ya Kiislamu, wabunge, wafanyabiashara na wanajamii kwa pamoja walijitokeza kulaani utiaji mbaroni huo ambao wanaamini ni kinyume cha sheria na haustahili kufanywa. Asuman Basalirwa, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wabunge Waislamu na…

Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon

Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani daima imekuwa ikifutilia kuzusha vurugu na machafuko nchinii Lebanon. Samahat Sheikh Sheikh Naim Qassim, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon  ameeleza kuwa, hii leo Marekani inaunga mkono utawala ghasibu…

Mahmoud Abbas: Wapalestina wote wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya baraza la mawaziri la Netanyahu

Mahmoud Abbas: Wapalestina wote wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya baraza la mawaziri la Netanyahu

Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aliwataka Wapalestina wote wafanye kazi ili kulishinda na kukabiliana na baraza la mawaziri la Netanyahu. “Mahmoud Abbas,” mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, alitoa wito kwa makundi na watu wote wa Palestina kuchukua hatua kukabiliana na kushindwa baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu. Kwa mujibu wa tovuti…

Sana’a: UAE inapaswa kukusanya mizigo yake kutoka kwenye Kisiwa cha Socotri

Sana’a: UAE inapaswa kukusanya mizigo yake kutoka kwenye Kisiwa cha Socotri

Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Yemen amesisitiza kuwa, Imarati pamoja na mamluki wake wanapaswa kufanya maandalizi ya kuhama na kuondoka katika Kisiwa cha Socotri. Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen iliitahadharisha Imarati mchana wa leo (Jumatatu) kuhusu uwepo haramu wa majeshi ya nchi hii katika kisiwa cha “Socotri” cha Yemen. “Hussein Al-Azi,”…

Wasomi wanaoamiliana na  Taaghut hawawezi kamwe kusimamisha utawala wa Kimungu

Wasomi wanaoamiliana na Taaghut hawawezi kamwe kusimamisha utawala wa Kimungu

   Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 2nd Dec. 2022   Hotuba ya 1: Imani iliyofichika husababisha utakasifu, subira na Taqwa (uchamungu) Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Sheria ya Bunge: Wazinifu nchini Indonesia kufungwa jela

Sheria ya Bunge: Wazinifu nchini Indonesia kufungwa jela

Bunge la Indonesia limo mbioni kupasisha sheria ya kutoa adhabu kwa wanaofanya zinaa nchini humo, hatua ambayo inalenga kukabiliana na vitendo vya uasherati. Taarifa kutoka Indonesia zinasema, Bunge la nchi hiyo linatarajiwa kupitisha sheria ya uhalifu mwezi huu itakayowaadhibu watu wanaoshiriki ngono nje ya ndoa na kwamba, adhabu hiyo inaweza kufikia kifungo cha hadi mwaka…