Ulimwengu wa Kiislamu

Sensa Uingereza: Idadi ya Waislamu yaongezeka; Wakristo wazidi kupungua

Sensa Uingereza: Idadi ya Waislamu yaongezeka; Wakristo wazidi kupungua

Idadi ya Waislamu inazidi kuongezeka kwa kasi nchini Uingereza huku wafuasi wa dini ya Kikristo ikipungua katika taifa hilo la bara Ulaya. Takwimu za sensa ya makazi na watu zinaonyesha kuporomoka kwa idadi ya Wakristo nchini Uingereza na kwamba, chini ya nusu ya idadi ya watu England na Wales ni Wakristo. Kwa mujibu wa takwimu…

Juhudi za Mwanazuoni wa Kimisri za Kufafanua juu ya Hadhi ya Wanawake katika Qur’ani

Juhudi za Mwanazuoni wa Kimisri za Kufafanua juu ya Hadhi ya Wanawake katika Qur’ani

Dkt. Fawzia al-Ashmawi alikuwa mwanazuoni ambaye alitumia maisha yake kueleza na kufafanua kuhusu hadhi ya wanawake katika Qur’ani Tukufu. Al-Ashmawi, ambaye alifariki mwezi uliopita, alikuwa msomi wa Misri, mwandishi, mfasiri na mtarjumi. Alifanya kazi kama Profesa wa fasihi ya Kiarabu na ustaarabu wa Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Geneva. Pia aliwahi kuwa mjumbe wa Baraza…

Wazayuni wameshaua shahidi Wapalestina 205 tangu mwanzoni mwa 2022

Wazayuni wameshaua shahidi Wapalestina 205 tangu mwanzoni mwa 2022

Wizara ya Afya ya Palestina imetoa ripoti yake na kusema kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi Wapalestina 205 katika sehemu mbalimbali za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni. Wizara ya Afya ya Palestina aidha imesema kwenye ripoti yake hiyo ya jana Jumanne kwamba,…

Kuna uhusiano upi baina ya dini uvumilivu au istiqama

Kuna uhusiano upi baina ya dini uvumilivu au istiqama

Maisha ya watu yamejaa changamoto na magumu yasiyotarajiwa. Kila mtu, kwa kuzingatia hali na hadhi yake, hukabiliana na matatizo au masaibu mbalimbali ya kibinafsi, ya kifamilia na kijamii lakini si watu wote wanaoyavumilia na kuyastahimili vivyo hivyo. Hisia hasi, ambazo ni kati ya hisia kuu tunazokabiliana nazo maishani, huweka gharama kubwa kwa watu binafsi na…

Mufti wa Oman awashukuru Waislamu kwa kuwasusia waandishi habari Wazayuni

Mufti wa Oman awashukuru Waislamu kwa kuwasusia waandishi habari Wazayuni

Mufti mkuu wa Oman amewashukuru Waislamu na wale wote ambao wamekataa kuzungumza au kuhojiwa na na waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa Kombe la Dunia la 2022 linaloendelea nchini Qatar. Katika chapisho kwenye akaunti yake ya Twitter, Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed Bin Hamad Al-Khalili ametoa shukrani kwa wale…

Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu

Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu

   Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 25th Nov. 2022   Hotuba ya 1: Tofauti kati ya Hifazat, Hisn, Taqwa na Ismat Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Mashabiki wa Kombe la Dunia washiriki katika Sala ya Ijumaa mjini Doha

Mashabiki wa Kombe la Dunia washiriki katika Sala ya Ijumaa mjini Doha

Mashabiki wa soka wa Waislamu ndani na nchi na kutoka mataifa mengine duniani walihudhuria Sala ya Ijumaa mjini Doha, Qatar huku Kombe la Dunia la kwanza katika nchi ya Kiislamu likiendelea. Ilipofika saa sita mchana, waadhini kote nchini Qatar walitamka walisikika wakiwaita Waislamu wakiwemo wachezaji wa soka, mashabiki, maafisa wa soka na wote kwa ujumla…

Takriban watu 900 walisilimu pambizoni mwa Kombe la Dunia, Qatar

Takriban watu 900 walisilimu pambizoni mwa Kombe la Dunia, Qatar

Hadi sasa watu 887 kutoka nchi tofauti wamesilimu kando ya Kombe la Dunia la mwaka huu wa 2022. Televisheni ya al Jazeera ya Qatar imeripoti kuwa, Zakir Naik, mwanazuoni wa Kiislamu wa India aliyekwenda Qatar kufanya tablighi na kueneza mafundisho ya Uislamu, amesema kuwa hadi sasa raia 887 kutoka nchi mbalimbali duniani wamesilimu pambizoni mwa mashindano…