Wazayuni wapatwa na kiwewe cha kwenda Qatar wakati wa fainali za Kombe la Dunia
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaonya Wazayuni wasitembelee Qatar au wachukue tahadhari kubwa wakiweko nchini humo wakati wa fainali za Kombe la Dunia. Fainali za kombe la dunia la kabumbu zitaanza nchini Qatar tarehe 20 mwezi huu Novemba na zitaendelea hadi tarehe 18 Disemba 2022. Hizi ni fainali za 22 za Kombe la Dunia na ni…
Shirika la kutetea haki za Kibinadamu: Serikali ya Saudia yawatendea ukatili wahamiaji kutoka Afrika na Yemeni
Shirika la “Haki na Uhuru wa Kibinadamu” lilitangaza kwamba mamlaka ya Saudia ina tabia ya kuchukiza sana kwa wahamiaji wa Kiafrika na Yemeni. Shirika la “Haki na Uhuru wa Kibinadamu” limekosoa vikali tabia ya viongozi wa Saudia dhidi ya wahamiaji wa Kiafrika na wa KiYemeni, haswa wale walioko mipakani. Kwa mujibu wa tovuti ya habari…
Himizo juu ya Umoja na Kutotengana ni mfumo unaopatikana katika mafunzo ya Qur’ani, usiopatikana katika madhehebu
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan 11th Nov. 2022 Hotuba ya 1: Himizo juu ya Umoja na Kutotengana ni mfumo unaopatikana katika mafunzo ya Qur’ani, usiopatikana katika madhehebu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu,…
IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq
Kwa mara nyingine, Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeshambulia na kuharibu ngome za magaidi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq. Shirika la habari la Fars News limeripoti habari hiyo na kueleza kuwa, Kikosi cha Nchi Kavu cha jeshi la IRGC kimeanzisha wimbi jipya la operesheni hiyo dhidi…
Haki za binadamu ya Yemen: Saudia imeua makumi ya wahajiri wa Kiafrika
Kaimu Waziri wa Haki za Binadamu wa Yemen amelaani mauaji ya wahajiri wa Kiafrika yaliyofanywa na walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia. Mtandao wa Al-Masira nchini Yemen umepata picha zinazoonyesha kwamba, walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia waliwaua makumi ya wahajiri wa Kiafrika kwenye mpaka wa nchi hiyo na Yemen. Ripoti hiyo imesema, Waafrika walionusurika katika…
Vijana wa Ufaransa wapinga marufuku ya hijabu katika maeneo ya umma
Matokeo ya uchunguzi uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya vijana wa nchi hiyo wanapinga marufuku vazi la hijabu la Kiislamu katika maeneo ya umma. Waislamu walio wachache nchini Ufaransa daima wamekuwa wakikabiliana na suala la hijabu na masharti magumu kwa wanawake wenye vazi la hilo la staha kutokana na sheria za kilaiki…
Jenerali Salami: Iran haitafumbia macho jinai za maadui
amanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitoacha jinai za maadui zipite hivi hivi bila ya kupewa majibu makali. Brigedia Jenerali Hossein Salami alisema hayo jana Ijumaa hapa Tehran akihutubia marasimu ya kumbukumbu ya kufa shahidi Jenerali Hassan Tehrani-Moghaddam, ‘Baba wa sekta ya makombora ya Iran’…
Nasrullah: Iran imezishinda tena njama za Marekani na Israel
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia machafuko ya hivi karibini nchini Iran na kufeli kwa njama za maadui na kusisitiza kuwa, Kwa mara nyingine tena Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzima njama na fitina za Marekani na utawala haramu wa Israel. Sayyid Hassan Nasrullah aliyasema hayo usiku wa kuamkia leo katika…