Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel
Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina. SalamAir,…
Yemen: Watu wetu wanauawa kila siku kwa silaha za Marekani
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen imesema kuwa, Marekani haitaki kusimamisha uvamizi huo na kusisitiza kuwa, suala hili liko wazi katika kipindi cha upendeleo kamili wa vita na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Yemen. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imeeleza…
Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu; Marekani imehusika katika machafuko nchini Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatano siku mbili kabla ya maadhimisho ya tarehe 13 Aban (4 Novemba 1978) ambayo hapa nchini ni Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa, alihutubia kikao cha mamia ya wanafunzi, akiitaja siku hiyo kuwa ni kielelezo cha uovu, ukhabithi na dhihirisho la kupata pigo na kushindwa…
HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema wananchi wa Palestina wataendeleza kwa nguvu zote jitihada na mapambano ya kulikomboa kikamilifu taifa lao kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel. HAMAS imesema hayo katika taarifa iliyoitoa kwa mnasaba wa kutimia miaka 105 tangu kutolewa Azimio la Balfour lililoandaa uwanja wa kuasisiwa utawala haramu wa Israel huko…
Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao mara mbili asubuhi na jioni kujadili matukio mapya yanayojiri Palestina. Hata kama kikao hicho hakikufikia mwafaka unaoeleweka, lakini kilitoa fursa kwa nchi mbalimbali kubainisha mitazamo yao, ambayo kwa ujumla imedhihirisha jinsi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unavyokiuka misingi na sheria za kimataifa pamoja na maazimio…
Kuwa Shahidi ni kutopendelea upande wowote katika muamala:Allamah Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan 28st oct. 2022 Hotuba ya 1: Sharti kuu la mtu kuwa Shahidi ni kutopendelea upande wowote katika muamala. Pasi na hivyo ni uhalifu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi…
Marekani na mchezo wa “chaguo la mwisho” nchini Iran Uwekezaji wa Washington katika ugaidi ni anguko la bure
Katika uchambuzi, gazeti la “Rai El Youm” sambamba na kuashiria nafasi ya Marekani katika shambulio la kigaidi mjini Shiraz, limeutaja ugaidi wa Washington kuwa ni chaguo la mwisho dhidi ya Iran na kubainisha kuwa, uwekezaji wa Ikulu ya Marekani kwa magaidi ni anguko la bure. Katika barua iliyoandikwa na Hasna Nasr al-Hussein, mchambuzi mwandamizi wa…
Kundi la ‘Arin al Usud laapa kuendelea na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Kundi la mapambano ya Kiislamu la ‘Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limesisitiza kuwa, watu wanaodhani kuwa muqawama umeshindwa, wanajidanganya. Kundi la muqawama wa Kiislamu la ‘Arin al Usud lilitangaza uwepo wake mwezi Aprili mwaka huu na kuyataka makundi mengine ya Palestina yaliunge…