Ulimwengu wa Kiislamu

Mashirika ya kijasusi ya kigeni yakiongozwa na CIA yamehusika na ghasia Iran

Mashirika ya kijasusi ya kigeni yakiongozwa na CIA yamehusika na ghasia Iran

Taarifa ya pamoja ya Wizara ya Intelijensia ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesema mashirika ajinabi ya kijasusi yakiongozwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) yamekuwa na mchango mkubwa katika kupanga na kuratibu ghasia na fujo zilizoshuhudiwa hapa nchini kwa wiki kadhaa. Taarifa hiyo imesema CIA ya Marekani ilikuwa…

Karzai alaani tukio la kigaidi la Shiraz

Karzai alaani tukio la kigaidi la Shiraz

Rais huyo wa zamani wa Afghanistan, katika kulaani shambulizi la kigaidi kwenye Haram ya Shah Chirag (a.s) katika mji wa Shiraz, alilichukulia kuwa ni kinyume na viwango vyote vya kidini na thamani za binadamu. Hamid Karzai, rais wa zamani wa Afghanistan amelaani shambulizi la kigaidi kwenye madhabahu ya Shahcheragh (PBUH) katika mji wa Shiraz, Iran….

Leo wananchi wa Iran wanafanya maadamano ya nchi nzima kulaani shambulio la kigaidi

Leo wananchi wa Iran wanafanya maadamano ya nchi nzima kulaani shambulio la kigaidi

Wananchi wa jiji la Tehran na miji yote ya Iran, leo baada ya Sala za Ijumaa, watafanya maandamano makubwa ya nchi nzima kulaani shambulio la kigaidi lililotokea juzi Jumatano katika Haram Tukufu ya Shah Cheragh ya mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran. Genge la kigaidi la ISIS limetangaza kuhusika na jinai hiyo. Kwa mujibu wa…

Kuongezeka mara 6 kiwango cha talaka nchini Saudi Arabia

Kuongezeka mara 6 kiwango cha talaka nchini Saudi Arabia

Kiwango cha talaka na wanandoa kuachana kimeongeza mno nchini Saudi Arabia katika miaka ya hivi karibuni na kutishia mustakabali wa familia nyingi katika nchi hiyo inayoongozwa kwa mfumo wa kifalme wa kifamilia. Takwimu zinaonyesha kuwa, matukio saba ya talaka na kuachana wanandoa hushuhudiwa kila baada ya saa moja nchini Saudi Arabia. Aidha kwa mujibu wa…

Shambulio la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh; mfano mwingine wa mradi wa kuvuruga usalama wa Iran

Shambulio la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh; mfano mwingine wa mradi wa kuvuruga usalama wa Iran

Ikiwa ni katika kuendeleza mradi wa maadui wa kuvuruga usalama na kuibua machafuko nchini Iran, siku ya Jumatano idadi kubwa ya wafanyaziara katika Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (as) huko katika mji wa Shiraz waliuawa shahidi na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotekelezwa katika haram hiyo. Jumatano alasiri gaidi mmoja wa kundi…

Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: ‘Basi tena, tutaabani’

Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: ‘Basi tena, tutaabani’

Mitandao ya kijamii imesambaza video inayomuonyesha askari mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel akiwasihi vijana Wapalestina katika eneo la Al-Khalil, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wahitimishe muqawama na mapambano dhidi yake yeye na wanajeshi wenzake. Katika video hiyo ambayo imeangaliwa na watu wengi sana, anaonekana askari wa utawala wa Kizayuni akiwataka vijana…

Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu

Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji…

Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki

Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki

Wanazuoni wa Bahrain wanaosota kwenye jela za utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa ukoo wa Aal Khhalifa wameeleza katika taarifa waliyotoa kumhutubu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kwamba, wanatumai kiongozi huyo wa kidini atasema ukweli na kuitikia wito wa imani katika ziara yake ijayo huko Bahrain. Shirika la habari la IRNA limeripoti…