Ulimwengu wa Kiislamu

Damascus: Zaidi ya wakimbizi milioni 5 wamerejea nchini Syria

Damascus: Zaidi ya wakimbizi milioni 5 wamerejea nchini Syria

Afisa wa Syria alitangaza kurejea wakimbizi zaidi ya milioni tano katika nchi hii licha ya vikwazo vyote vya nchi za magharibi. “Hussein Makhlouf”, Waziri wa Usimamizi wa Ndani na Mazingira wa Syria, alisema leo (Alhamisi) katika hotuba yake katika mkutano wa pamoja wa Syria na Urusi huko Damascus, kwamba zaidi ya wakimbizi milioni tano wa…

Ujumbe wa HAMAS waonana na Rais wa Syria mara ya kwanza baada ya miaka 10

Ujumbe wa HAMAS waonana na Rais wa Syria mara ya kwanza baada ya miaka 10

Duru za Syria zimetangaza habari ya kukutana ujumbe mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Televisheni ya al Mayadeen ilitangaza habari hiyo jana Jumatano na kuzinukuu duru hizo zikisema kuwa, ujuumbe wa Palestina…

IMF:Iran nchi ya 21 yenye nguvu kiuchumi duniani

IMF:Iran nchi ya 21 yenye nguvu kiuchumi duniani

Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umesema kuwa, Iran ni nchi ya 21 yenge nguvu kiuchumi duniani na kwamba nchi 171 duniani mwaka huu wa 2020 zimekuwa na uchumi wa kiwango cha chini ikilinganishwa na Iran. Shirika la IMF limetabiri katika ripoti yake mpya juu ya kiwango cha uzalishaji wa ndani wa nchi 192 duniani…

Hotuba ya Ijumaa – 14th October 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 14th October 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan Khutba ya 1: Uhusiano wetu na Bw Mtume (saww) usiwe wa kupiga Selfi, bali wa kuchukua mwongozo. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni

Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qurani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne na al-Azhar imeeleza kuwa, kitendo hicho cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu…

Uwepo wa kustaajabisha wa mamilioni ya Wayemen katika kusherehekea kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.)

Uwepo wa kustaajabisha wa mamilioni ya Wayemen katika kusherehekea kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.)

Mamilioni ya Wayemeni walihudhuria viwanja vikuu vya miji tofauti ya nchi hii na kusherehekea siku ya kuzaliwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.). Sambamba na mazazi ya Mtume Muhammad (SAW), kwa mujibu wa calenda ya dhehebu la Kisunni (12 Rabi al-Awwal), maelfu ya Wayemen katika majimbo ya Sana’a, Saada, Hajjah, Dhamar, Ibb, Taiz, Imran, Muhuit, Al-Jawf. na Al-Bayda…

Hotuba ya Ijumaa – 7th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 7th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1: Uhusiano uliopo baina ya mwanadamu na matendo yake –  Taqwa katika mikataba Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Hotuba ya Ijumaa – 30th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 30th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1: Kosa la Mujtahid katika kukadiria riba Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa ucha…