Ulimwengu wa Kiislamu

Ubalozi wa Iran nchini Afghanistan umelaani mlipuko uliotokea mjini Kabul

Ubalozi wa Iran nchini Afghanistan umelaani mlipuko uliotokea mjini Kabul

Ubalozi wa Iran mjini Kabul umelaani mlipuko katika kituo cha elimu uliosababisha mauaji ya baadhi ya wanafunzi. Ubalozi wa Iran nchini Afghanistan umelaani shambulizi la kigaidi la leo katika kituo cha elimu magharibi mwa Kabul. Ubalozi wa Iran mjini Kabul umeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa: “Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unalaani…

Hotuba ya Ijumaa – 23rd September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 23rd September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan    Hotuba ya 1:  Riba huharibu maisha ya kiuchumi ya jamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa…

Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Tunakabiliwa na mabadiliko ya dunia na kuingia katika utaratibu mpya/ulimwengu wa unilateralism umepoteza uhalali wake.

Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Tunakabiliwa na mabadiliko ya dunia na kuingia katika utaratibu mpya/ulimwengu wa unilateralism umepoteza uhalali wake.

Raisi alisema kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa: “Hivi Sasa tumekusanyika katika hali ya kua tunakabiliwa na ukweli muhimu, yaani, “kugeuka na kubadilika kwa ulimwengu” na kuingia katika “zama mpya na utaratibu mpya”. Ayatullah Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jumatano hii asubuhi kwa saa za hapa nchini, katika hotuba yake…

OIC yatahadharisha kuhusu ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya

OIC yatahadharisha kuhusu ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Hissein Brahim Taha ameelezea wasiwasi wa jumuiya hiyo kuhusiana na kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu katika baadhi ya nchi za Ulaya. Kikundi cha Mawasiliano kuhusu Waislamu barani Ulaya cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kimefanya mkutano wa wazi mjini New York, kando ya Kikao…

Ni kwa nini bin Salman alikataa kuhudhuria mazishi ya Malkia wa Uingereza?

Ni kwa nini bin Salman alikataa kuhudhuria mazishi ya Malkia wa Uingereza?

Vyombo vya habari viliripoti kuwa “Mohammed bin Salman”, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, alikataa kuhudhuria hafla ya mazishi ya Malkia wa Uingereza na badala yake alimtuma mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Saudia kwenye hafla hii. Kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya Saudi Leaks, gazeti la Guardian limeandika kuhusu hili kwamba Mohammed…

Shirika la Kiislamu la ‘Who Is Hussain’ Uingereza lavunja rekodi ya dunia ya uchangiaji damu

Shirika la Kiislamu la ‘Who Is Hussain’ Uingereza lavunja rekodi ya dunia ya uchangiaji damu

Shirika moja la kutoa misaada la Kiislamu la Uingereza limevunja rekodi ya dunia kwa idadi kubwa zaidi ya uchangiaji damu katika mabara sita kwa siku moja pekee. Juhudi za rekodi ya dunia ziliongozwa mwezi Agosti na shirika la Kiislamu la kutoa misaada la haki za kijamii linalojulikana kama “Who Is Hussain,” ambalo lilikuwa linajaribu kuhamasisha…

Wafanyaziara milioni 1 na nusu watembelea Samarra Iraq baada ya Arubaini

Wafanyaziara milioni 1 na nusu watembelea Samarra Iraq baada ya Arubaini

Mji wa Samarra wenye haram mbili tukufu za Maimam wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW umeshuhudia wimbi kubwa la wafanyaziara waliolekea mjini humo baada ya kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Husain AS huko Najaf na Karbala nchini Iraq. Taarifa kutoka nchini Iraq zinasema kuwa, zaidi ya wafanyaziara milioni 1 na laki tano wameelekea…

Wafanyaziara milioni 24 washiriki matembezi Arbaeen ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq

Wafanyaziara milioni 24 washiriki matembezi Arbaeen ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq

Wafanyaziara milioni 24 wamekusanyika katika mji wa Karbala wa Iraq kuadhimisha Arbaeen, tukio la kila mwaka ambalo linaadhimisha siku ya 40 baada ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa madhehebu ya Shia. Mjumuiko wa Arbaeen huko Karbala Iraq, umetajwa kuwa mjumuiko mkubwa zaidi wa kidini ulimwenguni, unaowaleta pamoja mamilioni ya…