Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger
Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS). Huko nchini Nigeria, mamia ya watu walishiriki katika matembezi hayo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) jana Jumamosi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Baadaye walikusanyika katika Husseiniya ya…
Seyyed Moqtadi al-Sadr: Maadhimisho ya Arbaeen yaharibu utamaduni wa maadui wa Ahlul-Bayt (a.s)
Akizungumzia nafasi ya maadhimisho ya Arbaeen katika kuwakasirisha maadui wa Uislamu, kiongozi wa harakati ya Sadr alisema kuwa katika maadhimisho haya utamaduni uliokuwa dhidi ya Ahlul Bayt uliharibiwa. Seyyed Moqtada al-Sadr amevishukuru vikosi vya usalama na maandamano ya Hosseini kwa kufanikisha safari ya Arbaeen Jumamosi hii. Al-Sadr alichapisha ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter na…
Hotuba ya Ijumaa – 16th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Arba’een inaweza kugeuka kuwa harakati ya kimataifa dhidi ya udhalimu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Maandamano ya Arubaini ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu kuinua juu bendera ya Uislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt. Ayatullah Ali Khamenei amesema leo Jumamosi katika shughuli ya maombolezo ya wanafunzi wa vyuo vikuu kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam…
Jimbo la Karbala: Mahujaji kutoka nchi zaidi ya 80 wameshiriki katika Ziara ya Arbaeen mwaka huu
Msemaji wa Harakati ya Kitaifa ya Hikmat alifafanua kuwa lau isingekuwa ni swala la kuangaziwa moja kwa moja kuhusu ziara tukufu ya Arbaeen na mihemko ya mahujaji na wahudumu wao, wapotoshaji wasioufiki imani hii wangesema kuwa ni uzushi. Harakati ya hekima ya kitaifa ya Iraq imesisitiza kuwa, lau maadhimisho ya Arbaien ya Imam Hussein (AS)…
Erdogan: Natamani Assad angeshiriki katika mkutano wa Shanghai
Vyombo vya habari vya Uturuki vimetangaza kuwa Rais wa Uturuki ameelezea matumaini yake kuwa mwenzake wa Syria atahudhuria mkutano wa kilele wa Shirika la Ushirikiano la Shanghai kukutana naye. Gazeti la Hurriyet, ambalo liko karibu na serikali ya Ankara, lilisema kuwa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan alifanya mkutano wa faragha na chama tawala cha…
HAMAS na Jihadul-Islami: Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa azma ya taifa la Palestina
Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina zimesisitiza kuwa, Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa irada na azma ya taifa la Palestina na kwamba, Wapalestina wanafungamana kikamilifu na chaguo la muqawama na mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel. Taarifa ya Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina imetolewa kufuatia tukio la kuuawa…
Kushadidi ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza; kielelezo cha chuki dhidi ya Uslamu barani Ulaya
Katika muendelezo wa ubaguzi dhidi ya Waislamu wanaoishi nchini Uingereza, vyombo vya habari vimeripoti wiki hii juu ya kuweko mpango wa kupokonywa uraia wa nchi hiyo Waislamu wanaoishi nchini Uingereza na kutangazwa kuwa raia wa daraja la pili. Taasisi ya Mahusiano ya Mbari ya Uingereza (The Institute of Race Relations) imesema, sera ya serikali ya…