Ulimwengu wa Kiislamu

Kifo cha Malkia na Uhalifu wa Uingereza

Kifo cha Malkia na Uhalifu wa Uingereza

Kifo cha Malkia na Uhalifu wa Uingereza Na Ustad Syed Jawad Naqvi   Malkia hastahili maombolezo na huzuni kutoka kwa mataifa ya Kiislamu Alikuwa na umri wa miaka 96 alipofariki na alibaki madarakani kwa miaka 70 . Kwa mujibu wa habari Uingereza na nchi zote za jumuiya ya madola chini ya Uingereza ikiwa ni pamoja…

Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea

Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea

Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras. Waislamu wa India huko Banaras, Uttar Pradesh, walikuwa wameiomba mahakama kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na wanawake wa Kihindu waliodai kumiliki msikiti wa Waislamu katika mji huo; hata hivyo mahakama imekataa ombi la Waislamu…

HAMAS yataka makubaliano ya Oslo baina ya PLO na Israel yafutwe

HAMAS yataka makubaliano ya Oslo baina ya PLO na Israel yafutwe

Sambamba na kutimia mwaka wa 29 tangu yaliposainiwa Makubaliano ya Oslo, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina itangaze kufutwa makubaliano hayo ya nakama. Makubaliano ya Oslo yalitiwa saini tarehe 13 Septemba 1993 kati ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO);…

Hotuba ya Ijumaa – 9th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 9th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1:  Sa’adat – Maana yake na balaa lake Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa…

Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu

Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu

Baadhi ya duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, licha ya jeshi la Israel kuvamia kila siku na mara kwa mara maeneo ya Wapalestina na licha ya kufanya ukatili mkubwa dhidi ya Wapalestina lakini limeshindwa kuzuia operesheni za wanamuqawama na wanamapambano wa Kiislamu. Shirika la habari la Kizayuni la “Walla” limewanukuu baadhi ya maafisa wa kijeshi wa…

Mashambulizi ya wapiganaji wa muungano wa Saudia kusini mwa Hodeida, Yemen

Mashambulizi ya wapiganaji wa muungano wa Saudia kusini mwa Hodeida, Yemen

Duru za Yemen zimeripoti kuendelea hujuma za muungano wa Saudia na mashambulizi ya wapiganaji wa muungano huu wa kusini mwa Hodeidah na magharibi mwa Taiz iliyoko kusini magharibi mwa Yemen. Chanzo cha kijeshi katika Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen huko Sana’a kilitangaza kusajiliwa kwa kesi mpya 55 za ukiukaji wa usitishaji vita na…

Iran inajitosheleza katika kuunda ndege zisizo na rubani (droni)

Iran inajitosheleza katika kuunda ndege zisizo na rubani (droni)

Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inajitosheleza katika uundaji wa ndege zisizo na rubani (droni). Sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi leo imekuwa na mafanikio mbalimbali nchini katika nyanja mbalimbali za nchi kavu, baharini, anga, na makombora. Aidha…

Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu

Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu

Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kusimamia kazi zake limesisitiza kuwa, Palestina ndio kadhia ya kwanza katika ulimwengu wa Kiislamu kama ilivyo pia suala la Beitul-Muqaddas. Sisitizo hilo limo katika taarifa ya mwisho ya mkutano wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya…