Ulimwengu wa Kiislamu

Umoja wa Mataifa: China imekiuka haki za binadamu za Waislamu wa Xinjiang

Umoja wa Mataifa: China imekiuka haki za binadamu za Waislamu wa Xinjiang

Umoja wa Mataifa umetoa ripoti inayoeleza kufanyika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Uighur katika jimbo la Xinjiang nchini China. Ripoti hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet imeeleza kuwa, madai ya mateso ni kweli na kuna uwezekano kwamba…

IRGC ya Iran yaeleza ilivyotwaa na kuachia huru droni ya Marekani

IRGC ya Iran yaeleza ilivyotwaa na kuachia huru droni ya Marekani

Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa maelezo ya kina kuhusu namna lilivyoteka na kisha kuachia huru ndege isiyo na rubani ya baharini ya Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi. IRGC imefafanua kuwa, imetoa maelezo hayo ili kujibu madai ya kuchekesha ya Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la…

Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran ni ya ajabu, yenye kuonyesha nguvu na yenye uwezo wa kumzuia adui huku akisisitiza kuwa: “Vikosi vya kijeshi vya Iran viko tayari kujibu vitisho vya adui.” Meja Jenerali Hossein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi…

Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (RA) kwa Gorbachev

Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (RA) kwa Gorbachev

Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Jamhuri za Kisoshalisti za Sovieti (Union of Soviet Socialist Republics, USSR) alifariki dunia Jumanne usiku katika hospitali moja mjini Moscow, Russia akiwa na umri wa miaka 91 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mnasaba wa kifo cha Gorbachev, tunalifanyia mapitio moja ya matukio muhimu zaidi yaliyojiri katika…

Rais wa Lebanon: Misimamo ya Imamu Musa Sadr inatoa ilhamu kwetu sote

Rais wa Lebanon: Misimamo ya Imamu Musa Sadr inatoa ilhamu kwetu sote

Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, misimamo ya Imamu Musa Sadr ni chemchemi ya ilhamu kwa Walebanon wote ili wafanye juhudi kwa ajili ya ukombozi wa nchi na watu wake. Rais wa Lebanon ameyasema hayo kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyotekwa nyara Imamu Musa Sadr alipokuwa safarini nchini Libya. Kwa mujibu wa tovuti ya habari…

Waziri Mkuu wa Iraq kujiuzulu iwapo mkwamo wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa

Waziri Mkuu wa Iraq kujiuzulu iwapo mkwamo wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa

Waziri Mkuu wa Iraq ametishia kuwa atajiuzulu wadhifa wake huo iwapo mkwamo na mgogoro wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa nchini huo. Mustafa al-Kadhimi alitoa indhari hiyo jana Jumanne na kusisitiza kuwa, “Nitaachia ngazi kulalamikia hali ya kisiasa isiyoeleweka.” Taifa hilo la Kiarabu limekuwa katika mvutano wa kisiasa, uliopelekea kushindwa kuunda serikali tangu baada ya uchaguzi wa…

Moqtada al-Sadr: Walioshikilia silaha mkononi, waombe msamaha

Moqtada al-Sadr: Walioshikilia silaha mkononi, waombe msamaha

Kiongozi wa vuguvugu la Sadr la Iraq Jumanne hii jioni huku akiwakosoa wale waliochukua silaha wakati wa machafuko ya hivi majuzi nchini humo, alimwomba Mwenyezi Mungu awasamehe. Seyyed Moqtadi al-Sadr, kiongozi wa harakati ya Sadr ya Iraq amesisitiza kuwa Mwenyezi Mungu awabariki mashahidi wa mapinduzi hayo ya amani. Kiongozi wa vuguvugu la Sadr alichapisha tweet…

Mfumo wa uratibu: Kuundwa kwa serikali ya utumishi wa kitaifa ndiyo njia ya kuzuia uchochezi mpya

Mfumo wa uratibu: Kuundwa kwa serikali ya utumishi wa kitaifa ndiyo njia ya kuzuia uchochezi mpya

Kamati ya Uratibu wa Mashia wa Iraq, inayojulikana kwa jina la Mfumo wa Uratibu, ilisisitiza kuwa ili kuzuia fitna mpya na kukomesha hali iliyopo, inapaswa kuunda serikali ya mageuzi na mtumishi wa kitaifa. Kamati ya Uratibu ya Mashia wa Iraq, inayojulikana kwa jina la Mfumo wa Uratibu wa Al-Attar Al-Tansiqi, ilijibu hotuba ya Seyyed Moqtadi…