Ulimwengu wa Kiislamu

Raisi: Kuimarishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran ni kwa maslahi ya usalama wa eneo

Raisi: Kuimarishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran ni kwa maslahi ya usalama wa eneo

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ubunifu na hatua za Iraq katika kuboresha ushirikiano baina ya nchi za eneo bila uingiliaji wa madola ajinabi ni jambo ambalo limekuwa na taathira na kuongeza kuwa: “Kurekebishwa na kuimarishwa uhusiano wa Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya usalama wa eneo.” Kwa mujibu wa taarifa,…

Putin apongeza ushirikiano wa nchi za Kiislamu katika kutatua masuala ya kimataifa

Putin apongeza ushirikiano wa nchi za Kiislamu katika kutatua masuala ya kimataifa

Katika ujumbe wake Vladimir Putin, hii leo amesifu hatua ya ushirikiano wa nchi za Kiislamu na Russia katika kutatua masuala ya kimataifa. Shirika la habari la Tass leo hii limenukuu ujumbe wa Rais wa Russia kwa washiriki na wageni wa Kongamano la Vijana Ulimwenguni huko Kazan na kusema: Nchi za Kiislamu zimekuwa washirika wa jadi…

Ikulu ya Marekani: Hali nchini Iraq inatia wasiwasi

Ikulu ya Marekani: Hali nchini Iraq inatia wasiwasi

Ikikanusha taarifa za kuhamishwa kwa ubalozi wa Marekani mjini Baghdad, Ikulu ya White House iliitaja hali ya Iraq kuwa yenye kutia wasiwasi na kutoa wito wa kudumisha amani na kuwepo kwa mazungumzo. Siku ya Jumatatu, Ikulu ya Marekani ilidai kuwa taarifa za kuhamishwa kwa ubalozi wa Marekani nchini Iraq si za kweli.Taarifa kuhusu kuhamishwa kwa…

Hotuba ya Ijumaa – 26th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 26th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan  Hotuba ya 1:  Ucha Mungu na tendo Muhimu zaidi kwa sasa ni kusaidia wahanga wa mafuriko Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Nusu ya wananchi wa Saudia wanalalamikia ugumu wa maisha

Nusu ya wananchi wa Saudia wanalalamikia ugumu wa maisha

Uchunguzi wa hivi karibuni kabisa wa maoni unaonesha kuwa, nusu ya wananchi wa Saudia Arabia wanalalamikia ugumu wa maisha na kupanda vibaya kwa bei za bidhaa. Kwa mujibu wa al Khalij al Jadid, uchunguzi huo wa maoni umefanywa na shirika moja la kibiashara la eneo hili baada ya kuombwa kufanya hivyo na taasisi ya Marekani…

Mshikamano kambi ya muqawama, ujumbe wa Hamas wakutana na Sayyid Nasrullah

Mshikamano kambi ya muqawama, ujumbe wa Hamas wakutana na Sayyid Nasrullah

Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umeonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon mjini Beirut, ukiwa ni ushahidi wa kuzidi kushikamana kambi ya muqawama katika eneo hili. Shirika la habari la Quds limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, ujumbe huo wa ngazi za juu wa HAMAS…

Mafuriko yaufunga mpaka wa pili muhimu wa Afghanistan na Pakistan

Mafuriko yaufunga mpaka wa pili muhimu wa Afghanistan na Pakistan

Vyanzo vya habari vya Taliban mjini Kandahar viliripoti kufungwa kwa mpaka wa Spin Boldak kati ya Afghanistan na Pakistan kutokana na mvua kubwa na mafuriko. Kwa mujibu wa mwandishi wa tovuti ya shirika la habari la Fars la Afghanistan, vyanzo vya ndani katika jimbo la Kandahar vilitangaza kuwa kivuko cha mpaka kati ya Afghanistan na…

Mafuriko mjini Nimroz, Afghanistan, yasomba vijiji vitano

Mafuriko mjini Nimroz, Afghanistan, yasomba vijiji vitano

Vyanzo vya habari vya Afghanistan vilitangaza kwamba kutokana na mafuriko yaliyotokea mjini Nimroz, vijiji 5 vilizama kabisa na uharibifu mkubwa wa kifedha ulisababishwa kwa wakaazi wa maeneo haya. Kulingana na tovuti ya Afghanistan ya shirika la habari la Fars, vyanzo vya ndani katika jimbo la Nimroz nchini Afghanistan vilitangaza kuwa vijiji vitano vimezama kutokana na…