Siku ya Kimataifa ya Misikiti; Palestina iko mstari wa mbele kulinda Msikiti wa al Aqsa
Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds huko Palestina amesema kuwa, Msikiti huo mtakatifu bado uko kwenye moto wa jinai za Wazayuni lakini wananchi wa Palestina wataendelea kuwa mstari wa mbele kuulinda. Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ya Palestina OIC imeitangaza tarehe 21 Agosti kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Misikiti…
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa. Sheikh Ikrima Sabri amesema kuwa, moto katika Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu bado haujazimika. Akizungumza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka ambao Wazayuni walikichoma moto Kibla cha Kwanza cha Waislamu…
Ibrahim Raeisi: Hakuna mazungumzo yoyote yatakayoifanya Iran ilegeze msimamo katika haki zake
Rais Ibrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikao au mazungumzo yoyote yale ambayo yatalifanya taifa hili lilegeze kamba na kufumbia macho haki zake. Rais wa Iran amesema hayo leo katika mkutano wa 17 wa Siku ya Kimataifa ya Msikiti na kueleza kwamba, serikali inafanya kila iwezalo na kwa nguvu zake…
Watu 10 wauawa Mogadishu katika shambulio la magaidi wa al-Shabab
Kwa akkali watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kufuatia hujuma na mashambulio ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabab. Maafisa wa usalama wanasema kuwa, watu hao 10 wameuawa baada ya wanamgambo wa al-Shabab kuvamia hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu. Vyombo vya uusaama vinasema washambuliaji walilipua vilipuzi…
Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan mjini Islamabad
Kikao cha 21 cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan kilianza Jumatano ya jana katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad ambapo ujumbe wa Iran katika kikao hicho unaongozwa na Rostam Qassemi, Waziri wa Barabara na Ujenzi wa Miji. Katika kikao cha ufunguzi jana asubuhi, maafisa wa Iran na Pakistan walibainisha uhusiano mzuri…
Mlipuko mjini Kabul wasababsha kifo cha mashahidi 20
Vyanzo vya habari vya Afghanistan viliripoti mlipuko katika msikiti mmoja katika mji wa Kabul. Kulingana na mwandishi wa tovuti ya Afghanistan ya shirika la habari la Fars, vyanzo vya habari vya Afghanistan viliripoti mlipuko huo huko Kabul. Wakaazi wa eneo la Khairkhaneh katika mji wa Kabul wanasema kuwa mlipuko ulitokea katika msikiti wa “Sadiqiyeh” dakika…
Wapalestina wafichua njama ya Israel ya kuubomoa kikamilifu msikiti wa Al Aqsa
Duru za Palestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu zimefichua njama ya awamu tatu iliyoandaliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kuubomoa msikiti mtukufu wa Al Aqsa. Kwa mujibu wa duru hizo, lengo la njama hiyo ni kuchimba misingi kwa madhumuni ya kuzifanya kuta za msikiti wa Al…
Karzai: Wananchi wa Afghanistan wametaabika mno kwa kuweko majeshi ya Marekani nchini kwao
Hamid Karzai Rais wa zamani wa Afghanistan amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamedhurika pakubwa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita ya kuweko majeshi ya kigeni yakiwemo ya Marekani katika nchi yao. Karzai amesema hayo katika mahojiano maalumu aliyofanyiwa na chombo kimoja cha habari cha India ambapo sambamba na kuzungumzia matukio ya mwaka mmoja uliopita…