Saudia yamhukumu mwanaharakati wa kike kifungo cha miaka 34 jela
Kundi la Freedom Action lilitangaza kuwa mahakama ya Al Saud ilimhukumu mwanaharakati wa haki za binadamu Salmi al-Shahab kifungo cha miaka 34 jela. Kwa mujibu wa kundi hilo lenye makao yake makuu mjini Washington, al-Shahab, mama wa watoto wawili, alikuwa akiishi Uingereza na alikamatwa akiwa safarini kuelekea nchini mwake. Akiwa Mshia, kila mara alitweet kuhusu…
Austria ni kitovu cha chuki dhidi ya Uislamu Ulaya
Austria ni maarufu kwa usanifu majengo mzuri na sanaa, hata hivyo, cha kusikitisha ni kwamba, nchi hii sasa imejijengea sifa nyingine katika miaka ya hivi karibuni: ile ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya Waislamu waliowachache. Kulingana na data iliyotolewa Juni 2022, zaidi ya matukio 1000 ya chuki dhidi ya Uislamu yaliripotiwa mwaka uliopita; ongezeko la…
Iran: Muqawama wa Kiislamu hauishii tu katika ukanda wa Asia Magharibi
Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama na mapambano ya Kiislamu si kitu cha kuishia kwenye eneo moja tu. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Ali Bahadori Jahromi alisema hayo jana kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kwa mnasaba wa tarehe 23 Mordad kwa kalenda ya Kiirani ya…
Hotuba ya Ijumaa – 12th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 12th August 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: UCHAJI MUNGU KIVITENDO HUPATIKANA KATIKA NIDHAMU YA NDOA Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuinuliwa hadhi ya Harakati ya Jihad Islami
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusema, “mapambano (muqawama) ya kishujaa ya Jihad Islami yatapelekea kupanda hadhi ya harakati hiyo katika mapambano sambamba na kusambaratisha hadaa za utawala wa Kizayuni na kuufedhehesha utawala huo.” Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi…
Mwandishi murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia
Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW, na ambaye ameshambuiwa kwa kuchomwa kisu mjini New York Marekani, ametangaza kuwa, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, hivi sasa Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, lakini hawezi kuongea. Kwa mujibu wa…
HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo thabiti ulioonyeshwa na waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Pakistan Khawaja Muhammad Asef ameieleza serikali ya Uingereza na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kuwa Azimio la Balfour la mwaka…
Hotuba ya Ijumaa – 05th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 05th August 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Azadari (Maombolezi) ni muendelezo wa mwamko wa Ummah kutoka kwa Imam Husein (a) Muharram, Ashura ni baraka maalum ambayo ni kama mwongozo…