Ulimwengu wa Kiislamu

Waislamu  kote duniani waomboleza siku ya Ashura

Waislamu kote duniani waomboleza siku ya Ashura

 Waislamu  kote duniani jana na leo wameungana na mamilioni ya wafuasi wengine wa Ahlul-Baiti (as) duniani kote katika kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS. Waombolezaji wa Kiislamu, leo wanashiriki kwenye majlisi za maombolezo kukumbuka ushujaa na dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala, miaka 1383 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria. Matabaka…

Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri

Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni. Sayyid Hassan Nasrullah amesema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa, “Napongeza uthubutu wa Palestina kujibu mapigo, kwa…

Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS

Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS

Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Husain AS. Maombolezo ya usiku wa kuamkia leo yamefanyika katika kona zote za Iran na nje ya Iran ikiwemo Husainia ya Imam Khomeini MA mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa…

Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza

Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza

Iran na Afrika Kusini zimelaani vikali jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Nasser Kana’ani amelaani jinai hizo na kuilaumu jamii ya kimataifa na mashirika yanayojigamba kutetea haki…

Kongamano la Dunia la ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ limefanyika leo

Kongamano la Dunia la ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ limefanyika leo

Mjumuiko maalumu wa ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ umefanyika leo sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram katika maeneo 7,500 nchini Iran na katika nchi zingine 45 duniani. Kila mwaka na katika Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram, kwa mnasaba wa kukumbuka alivyouawa shahidi kikatili Ali Asghar, mtoto mchanga wa miezi…

Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan Khutba ya 1: Msingi wa kila tendo la kidini ni Taqwa Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…

Kufutwa siku ya mapumziko (maombolezo) ya Ashura katika kalenda rasmi ya Afghanistan

Kufutwa siku ya mapumziko (maombolezo) ya Ashura katika kalenda rasmi ya Afghanistan

Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa, Taliban imeondoa likizo au siku ya maombolezo ya Ashura katika kalenda rasmi ya Afghanistan na badala yake kuweka mahala pake matukio kadhaa yanayohusiana nayo. Hii ni katika hali ambayo kabla ya hapo siku hii ya Ashura ilikuwa imesajiliwa katika kalenda rasmi ya Afghanistan kama siku ya mapumziko ya umma kwa…

Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu

Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu

Rais Ebrahim Raisi amesema, kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) ni ithibati kwamba kuamrisha mema na kukataza maovu kuna umuhimu mkubwa katika dini ya Uislamu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyasema hayo katika mkutano na wajumbe wa tume ya kuhuisha uamrishaji mema na ukatazaji mabaya. Katika mkutano huo na wajumbe hao, Seyyid Ebrahim…