Ulimwengu wa Kiislamu

Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel

Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel

Wizara ya Intelijensia ya Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya utawala wa Israel katika miezi ya hivi karibuni sambamba na kuzima idadi kubwa ya njama za utawala huo wa Tel Aviv na waitifaki wake magaidi dhidi ya Iran. Waziri wa Intelijensia Esmail Khatib ameyasema hayo Jumatano mjini Tehran katika mkutano na Spika wa Majlisi…

Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah

Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah

Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, juzi usiku (tarehe 25 Julai) alizungumza na televisheni ya al-Mayadeen kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa kuasisiwa Hizbullah, ambapo nukta kadhaa za kistratijia zilijadiliwa. Jambo la kwanza lilikuwa kwamba Hiizbullah ya Lebanon imejiimarisha katika mlingano wa nguvu. Uwezo huo ni mkubwa kiasi kwamba adui Mzayuni anafahamu…

Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi

Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi

Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi. Kwa mujibu wa chaneli ya televisheni ya NDTV ya India, waziri wa ulinzi wa India Rajnath Singh, ambaye jana Jumatatu alitembelea eneo la Jamu na Kashmir alidai kwamba, Kashmir iliyo…

Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1:  Sifa za kiongozi bora  Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Kuridhishwa kwa Iran na matokeo ya mkutano wa Tehran, Harakati dhidi ya Umagharibi yazidi kuimarika

Kuridhishwa kwa Iran na matokeo ya mkutano wa Tehran, Harakati dhidi ya Umagharibi yazidi kuimarika

Ziara ya hivi karibuni ya marais wa Uturuki na Russia mjini Tehran na kukutana na wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo iliakisiwa pakubwa na vyombo vya habari vya dunia, kwa mujibu wa wachunguzi na wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa, ni muungano mpya dhidi ya serikali ya Iran. Magharibi. Gazeti la Lebanon la…

Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1:  Je! Mwenyezi Mungu huwafanya nini wenye matamanio ya uongozi? Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni…

Putin mjini Tehran; Makubaliano ya kimkakati na kutafuta usaidizi wa kukwepa vikwazo

Putin mjini Tehran; Makubaliano ya kimkakati na kutafuta usaidizi wa kukwepa vikwazo

Gazeti la Qatar lachapisha kidokezo kinachotoa uchambuzi wa vipimo vya mikakati ya ziara ya kwanza ya rais wa Urusi mjini Tehran katika zama za urais wa Sayed Ibrahim Raisi. Katika kizingiti cha safari ya Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Tehran  akihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi tatu akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Iran Ebrahim…

Russia yaidhinisha mfumo wa benki za Kiislamu kukabiliana na vikwazo

Russia yaidhinisha mfumo wa benki za Kiislamu kukabiliana na vikwazo

Sheria mpya inaandaliwa nchini Russia ambayo itasimamia benki za Kiislamu nchini humo katika jitihada za kuvutia wawekezaji kutoka nchi za Kiislamu ili kukabiliana na vikwazo ambavyo benki za nchi hiyo zimewekewa na Wamagharibi. Gazeti la kila siku la Kirusi la Kommersant limeripoti kwamba huduma za Kiislamu za kifedha zitatolewa katika fremu ya Mashirika ya Ubia…