Ulimwengu wa Kiislamu

Israel yaonywa kuhusu kujaribu kubadilisha muundo wa Msikiti wa Aqsa

Israel yaonywa kuhusu kujaribu kubadilisha muundo wa Msikiti wa Aqsa

Mabadiliko yoyote ambayo utawala haramu wa Israel unapanga kuyatekeleza katika hali ya miongo kadhaa iliyopita katika ukuta wa eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) yanaweza kuzua vita vya kidini katika eneo hilo. Onyo hilo limetolewa na Idara ya Wakfu ya Kiislamu, inayosimamia Msikiti wa Al-Aqsa na maeneo matakatifu ya Waislamu mjini Quds….

Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)

Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)

Mahakama ya Juu ya India imemtaka msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata kinachoongozwa na Waziri Mkuu, Narendra Modi, Nupur Sharma, kujitokeza kwenye televisheni na kuomba radhi kwa taifa zima la India, baada ya matamshi yake ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ambayo yameisababisha maandamano makubwa na kuchochea hali ya mvutano…

Jaji Lubuva: Uteuzi wa vigogo Tume ya Uchaguzi utazamwe upya

Jaji Lubuva: Uteuzi wa vigogo Tume ya Uchaguzi utazamwe upya

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameishauri Serikali kuutazama upya utaratibu wa kupatikana kwa watendaji wakuu wa taasisi hiyo ili kutoa fursa kwa Watazania kuongeza imani na watumishi hao. Katika mabadiliko hayo, jaji huyo mstaafu wa Mahakama ya Rufani, alisema ili kurejesha imani kwa chombo hicho kinachosimamia…

Ansarullah: Uwezo wa jeshi la Yemen umepiku wa nchi nyingi za Kiarabu

Ansarullah: Uwezo wa jeshi la Yemen umepiku wa nchi nyingi za Kiarabu

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza hatua kubwa iliyopigwa na nchi hiyo katika kujizalishia makombora ya balestiki ya masafa marefu na kusisitiza kuwa, uwezo wa jeshi la Yemen unazipiku nchi nyingi za Kiarabu. Abdulmalik Badruddin al Houthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen alisema hayo jana katika hotuba iliyorushwa hewani mubashara…

Katibu Mkuu wa Baraza la Kukurubisha Madhehebu: Kulinda amani na kujitawala kwa nchi za Kiislamu ni jukumu la wote

Katibu Mkuu wa Baraza la Kukurubisha Madhehebu: Kulinda amani na kujitawala kwa nchi za Kiislamu ni jukumu la wote

Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitiza kuwa kulinda uthabiti, kujitawala na amani ya nchi za Kiislamu ni jukumu la Waislamu wote na akabainisha kwamba, ikiwa nchi isiyo ya Kiislamu itataka kuzivamia nchi za Kiislamu na kupora sehemu ya ardhi yake na utajiri wake, ni jukumu la kila mtu…

Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Asia Magharibi haidhibitiwi tena na Marekani

Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Asia Magharibi haidhibitiwi tena na Marekani

Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema eneo la Asia Magharibi halidhibitiwi tena Marekani, na kwamba hivi sasa lipo katika mikono ya mataifa ya Waislamu. Hujjatul-Islam Walmuslimin Sayyid Muhammad Hassan Abu Turabi-Fard amesema hayo katika hotuba za Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran na kuongeza kuwa, “Miito ya baadhi ya watu ya kutaka kuundwa muungano wa…

Ufuatiliaji wa hali ya hivi punde ya mahujaji wa Kiirani Katika mazungumzo kati ya Amir Abdullahian na mkuu wa Shirika la Hijja na Ziara

Ufuatiliaji wa hali ya hivi punde ya mahujaji wa Kiirani Katika mazungumzo kati ya Amir Abdullahian na mkuu wa Shirika la Hijja na Ziara

Katika mazungumzo ya simu na mkuu wa shirika la Hija na ziara, Waziri wa Mambo ya Kigeni Bw. Amir Abdullahian  alifahamishwa kuhusu hali ya hivi punde ya mahujaji wa Iran na kueleza nukta muhimu zifuatazo. Katika mazungumzo ya Dkt. Hussein Amir-Abdullahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi ya Iran, Sayed Sadiq Husseini, Mkuu wa…

Je ni kipi kilichotokea wakati wa mkutano kati ya Ibrahim Raisi na Vladimir Putin?

Je ni kipi kilichotokea wakati wa mkutano kati ya Ibrahim Raisi na Vladimir Putin?

Katika kikao na Rais wa Iran Ayatullah Sayyed Ibrahim Raisi, Rais wa Russia amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Moscow na Tehran ni wa kina na wa kistratijia, na nchi hizo mbili ziko katika mawasiliano ya mara kwa mara katika maingiliano ya kisiasa na masuala ya usalama, na nchini Syria wanaukaribu mkubwa wakikazi.” Idhaa ya habari…