Tanzania na Congo kushirikiana kukuza kilimo
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa serikali itaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika kuendeleza sekta ya kilimo hususan katika nyanja za utafiti, kubadilishana utaalamu na kuimarisha soko la mazao mbalimbali. Waziri amesema hayo jana Alhamisi Juni 23, 2022 wakati akizungumza na ujumbe kutoka DRC ulioongozwa na Gavana wa Jimbo la…