Ulimwengu wa Kiislamu

Bin Salman awaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina

Bin Salman awaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina

Tovuti ya Kimarekani ya Axios imesema, Marekani imekuwa ikifanya mazungumzo ya siri ya kupatanisha Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kufanikisha mpango wa kisaliti wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Tel Aviv na Riyadh. Kwa mujibu wa ripoti ya ‘Saudi Leaks’, Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia ametoa…

Saudia yazidi kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen

Saudia yazidi kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen

Muungano vamizi Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia umekiuka usitishaji vita mara 40 katika mkoa wa al Hudaidah. Makundi ya Yemen yalisaini makubaliano ya kusitisha vita katika mkoa wa al Hudaidah kupitia mazungumzo ya Disemba 13 mwaka 2018 huko Stockholm Sweden, hata hivyo muungano vamizi wa Saudi Arabia na washirika wake tangu wakati huo umekiuka mara…

OIC yalaani ukandamizaji wa Waislamu nchini India

OIC yalaani ukandamizaji wa Waislamu nchini India

Taasisi ya haki za binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vitendo vya kibaguzi dhidi ya Waislamu nchini India. Taasisi hiyo imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuiwajibisha India kwa ukiukaji wa haki za binadamu za walio wachache na kukomesha uhasama wao. Tume Huru ya Kudumu ya Haki za Kibinadamu (IPHRC), mojawapo ya…

255 wauawa na mamia wajeruhiwa katika tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Afghanistan

255 wauawa na mamia wajeruhiwa katika tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Afghanistan

Watu wasiopungua 255 wameuawa na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kuyakumba maeneo ya mbali kusini mashariki ya Afghanistan na nchi jirani ya Pakistan alfajiri ya kuamkia leo. Mkuu wa wizara inayoshughulikia majanga ya kimaumbile katika serikali ya Taliban Mohammad Nassim Haqqani amesema, vifo vingi zaidi vimetokea katika mkoa wa…

Hizbullah ya Lebanon yaimarisha Jeshi lake katika kila upande, maandalizi ya kupambana na Wazayuni

Hizbullah ya Lebanon yaimarisha Jeshi lake katika kila upande, maandalizi ya kupambana na Wazayuni

Nguvu za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, angani, ardhini na majini na imejiandaa kikamilifu kupambana na Wazayuni. Hivi sasa harakati hiyo imejiweka tayari kukabiliana na utawala wa Kizayuni kikamilifu baada ya kuenea taarifa kuwa utawala huo pandikizi umekataa matakwa ya Lebanon ya kutoiba gesi katika eneo la nchi…

Al Azhar yaonya kuhusu madhara ya kushambuliwa nyumba za Waislamu nchini India

Al Azhar yaonya kuhusu madhara ya kushambuliwa nyumba za Waislamu nchini India

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani jinai za Wahindu za kushambulia nyumba za Waislamu nchini India na kuonya kuhusu madhara ya jinai hizo. Shirika la habari la Sputnik limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, Chuo Kikuu cha al Azhar kimesema katika taarifa yake kuwa, kinalaani kwa nguvu zote jinai zinazofanywa…

Saudi Arabia yaondoa sharti la kuvaa barakoa ndani ya msikiti mtukufu wa makka

Saudi Arabia yaondoa sharti la kuvaa barakoa ndani ya msikiti mtukufu wa makka

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia iliondoa sharti la matumizi ya barakoa katika maeneo yenye msongamano wa wtu wengi isipokua ndani ya Masjid al-Haram na Masjid al-Nabi. Shirika rasmi la habari la Saudi Arabia ‘Wass’ limemnukuu afisa mmoja katika Wizara ya Mambo ya Ndani akisema kuwa vikwazo vingine vya kujikinga dhidi ya ugonjwa huo…

Maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) yaendelea nchini India; Polisi: Takriban watu wawili wauawa

Maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) yaendelea nchini India; Polisi: Takriban watu wawili wauawa

Polisi wa India wamesema kuwa takriban watu wawili wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maandamano katika mji wa Ranchi kufuatia maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume wa Uislamu. Licha ya juhudi za maafisa wa serikali ya Narendra Modi kujiweka mbali na kudhalilishwa kwa msemaji wa chama tawala dhidi ya Mtume wa Uislamu, maandamano nchini humo…