Ulimwengu wa Kiislamu

Pop Francis: Tunayakubali mazungumzo ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Pop Francis: Tunayakubali mazungumzo ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Katika kujibu ujumbe wa Kiongozi huyo Muadhamu wa Mapinduzi, Pop Francis amesema yafuatayo; “Salamu kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na wale viongozi wa kidini wa Iran; Vile vile sisi tunayakubali yale  ayasemayo kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Ayatollah A’rafi, mkurugenzi wa seminari hiyo, aliwasilisha ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa Pop…

Shambulio la roketi dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi ya Ayn al-Assad

Shambulio la roketi dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi ya Ayn al-Assad

Duru za Iraq zinasema kuwa roketi kadhaa zilirushwa katika kambi ya Ain al-Assad nchini Iraq, zikitaja milipuko kadhaa. Baadhi ya vyombo vya habari vya Iraq viliripoti Jumanne asubuhi kwamba milipuko ya kutisha ilisikika katika kambi ya Ain al-Assad, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mkoa wa Anbar. Ripoti ambazo hazijathibitishwa zinaonyesha shambulio la kombora lililokuwa…

Balozi wa Iran atoa Pongezi kwa bunge la Iraq kwa kupitisha sheria inayoharamisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

Balozi wa Iran atoa Pongezi kwa bunge la Iraq kwa kupitisha sheria inayoharamisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

Balozi mpya wa Iran nchini Iraq, Mohammad Kazem al-Sadegh, amewapongeza wabunge wa Bunge la Iraq kwa kuipigia kura sheria inayoharamisha uhusiano na utawala ghasibu wa Kizayuni. Al-Sadegh aliandika katika ukurasa wake wa kibinafsi wa Twitter: “Tunawapongeza wawakilishi wa taifa ndugu la Iraq katika bunge kwa kuipigia kura sheria ya kihistoria inayoharamisha uhusiano na utawala huo…

Watu 35 wamefariki na kujeruhiwa katika mlipuko wa soko la Aden kusini mwa Yemen

Watu 35 wamefariki na kujeruhiwa katika mlipuko wa soko la Aden kusini mwa Yemen

Mlipuko wa bomu karibu na soko katika mji wa Aden kusini mwa Yemen umesababisha vifo vya takriban watu watano na wengine 30 kujeruhiwa, kwa mujibu wa takwimu za hivi punde. Faraan: Mlipuko wa bomu uiotukia katika soko la mji wa Aden ambao ni mji mkuu wa serikali yenye uhusiano na Riyadh, hadi sasa umesababisha mauaji ya…

Iran na Oman zatiliana saini hati 12 za kustawisha ushirikiano + Video

Iran na Oman zatiliana saini hati 12 za kustawisha ushirikiano + Video

Leo Jumatatu, Rais Ebrahim Raisi amefanya ziara rasmi ya siku moja nchini Oman na kupokewa kwa heshima zote na Sultan Haitham bin Tariq wa nchi hiyo. Miongoni mwa matunda ya ziara hiyo rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Oman ni kutiwa saini hati 12 za kustawisha uhusiano na ushirikiano baina ya nchi…

Kiongozi Muadhamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni Fatemi ni’a

Kiongozi Muadhamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni Fatemi ni’a

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni na mhubiri katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hujjatul Islam Sayyid Abdullah Fatemi ni’a. Nakala ya ujumbe huo ni kama ifuatavyo; kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma mwenye Kurehemu Natoa pole na rambirambi zangu kwa familia ya…

Mwisho wa upigaji kura katika uchaguzi wa Lebanon

Mwisho wa upigaji kura katika uchaguzi wa Lebanon

Muda wa kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Lebanon umekwisha na shughuli za kuhesabu kura nchini humo kuanza. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Fars News, muda wa upigaji kura ulipokamilika nchini Lebanon, vituo sita vya kupigia kura vilifungwa nchini humo na shughuli za kuhesabu kura katika uchaguzi wa bunge zilianza. Al-Jazeera imeinukuu…

Mohammed bin Zayed ateuliwa kuwa rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati)

Mohammed bin Zayed ateuliwa kuwa rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati)

Baraza Kuu la Muungano wa Falme za Kiarabu limemteua Mohammed bin Zayed Aal Nahyan kuwa rais mpya wa nchi hiyo. Televisheni ya al Jazeera imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, uteuzi huo umekuja baada ya kufariki dunia rais wa nchi hiyo, Sheikh Khalifa bin Zayed Aal Nahyan. Khalifa bin Zayed alifariki dunia jana Ijumaa akiwa…