Ukandamizaji wa Al-Khalifa; Kukamatwa na kuteswa kwa ndugu watatu matineja wa Bahrain
Mohammed, Muqtada na Montazer Al-Kuwaiti ni ndugu watatu kutoka nchi ya Bahrain, wenye umri baina ya miaka 14 na 15, ambao walihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na Al Khalifa mwaka 2021 kwa mashtaka ya uwongo pamoja na mateso na vitisho. Wameshtakiwa kwa kushiriki katika maandamano, utengenezaji wa vifaa vinavyoweza kushika au kusababisha moto, kusababisha…
Safari za ndege kutoka Uwanja wa Ndege wa Sanaa hadi Cairo zaanza upya
Mkurugenzi mkuu wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa alitangaza kwamba safari za ndege kuelekea Cairo, ambayo ilikuwa imezingirwa na Saudi Arabia, zitaanza tena hivi karibuni. Khalid al-Shaif, mkurugenzi mkuu wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa, alitangaza siku ya Jumatatu kwamba safari za ndege kutoka uwanja wa ndege hadi Cairo zitaanza tena…
Nchi nyingi za Kiarabu zaruhusu mijimuiko ya ibada Mwezi wa Ramadhani
Wakati Waislamu wakijiandaa kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, nchi za Kiarabu zimeamua kupunguza vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona baada ya hali ya kipekee katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, IQNA imeripoti. Hivyo ibada na sherehe za Ramadhani zinarejea katika baadhi ya nchi za Kiarabu. Vizuizi vya kukabiliana na mlipuko wa corona vilikuwa…
Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah kwa mnasaba wa Mwezi wa Ramadhani
Kwa mujibu wa taarifa, hotuba hiyo itarushwa mubashara au moja kwa moja kupitia televisheni ya Al Manar saa mbili na nusu usiku kwa wakati wa Beirut na Afrika Mashariki. Sayyid Hassan Nasrallah atazungumza kuhusu masuala mbali mbali katika hotuba hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na wengi.
Maandamano nchini Italia kuhusu mauzo ya silaha kwa serikali iliyojiuzulu ya Yemen
Waandamanaji wa Italia walikusanyika katika mji wa bandari wa Genoa kuzuia upakiaji wa silaha zitakazotumwa kwa serikali ya Yemen iliyojiuzulu. Raia wa mji wa Genoa nchini Italia walifanya maandamano siku ya Ijumaa asubuhi kupinga utumaji wa silaha kwa serikali ya Yemen iliyojiuzulu. Wananchi wa Genoa, wakiwemo wanafunzi na wanachama wa vyama vya wafanyakazi, waliandamana hadi…
Al-Mashat: Mwaka wa nane wa vita vya Yemen utakuwa na mshangao mwingi kwa adui
Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen alisema kuwa tunafanya kazi kwa ajili ya haki halali za watu wa Yemen. Mehdi Al-Mashat alisema: Tunatabiri kwamba mwaka wa nane wa vita utamshangaza adui endapo hataisikiliza sauti ya akili na eneo. Ameongeza kuwa, kushtadi mivutano nchini Yemen hakuna uhusiano wowote na mazungumzo ya amani ya Riyadh…
Mkutano wa Amir Abdullahian na Seyed Hassan Nasrallah
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye jana aliwasili Beirut alikutana na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir Abdullahian amekutana leo (Ijumaa) na Katibu Mkuu wa harakati…
Bin Salman augua maradhi ya megalomania
Ushahidi wa kisaikolojia na kisayansi unathibitisha kuwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman, anasumbuliwa na ugonjwa wa kichaa cha kujiona kuwa adhimu na muhimu kupita kiasi (megalomania) na matatizo yanayoambatana na ugonjwa huo. Wakati wa mahojiano yake marefu ya hivi majuzi na Muhammad bin Salman, mwandishi wa habari Graeme Wood kutoka The Atlantic alifupisha hali ya…