Hujjatul Islam Haj Ali Akbari : Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine
Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo. Hujjatul Islam Haj Ali Akbari ameashiria matukio ya Ukraine na operesheni maalumu ya kijeshi ya Russia ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Ulaya na kueleza…
Algeria inasisitiza kudumisha usalama katika nchi za Kiarabu zilizopo pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi
Rais wa Algeria aliyezuru Kuwait, alisisitiza haja ya kudumisha usalama katika mataifa ya pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi. Rais wa Algeria, Abdel Majid Teboun alisema kuwa nchi yake haitakubali kamwe kwamba usalama wa mataifa ya Ghuba ya Uarabuni utaingiliwa. Kulingana na gazeti la “Rai Al-Youm”, Akizungumza kuhusu Waalgeria walio wachache nchini Kuwait Jumanne usiku (jana…
Raisi: Ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Wairani wanaoshi Qatar kuwa ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar. Rais Sayyid Ebrahim Rais wa Iran jana usiku alikutana na Wairani wanaoishi Qatar na huku akibainisha kwamba maingiliano ya watu wa nchi za eneo hili…
Raisi awasili nchini Qatar, na kulakiwa na Emir mjini Doha
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amewasili mji mkuu wa Qatar, Doha na kulakiwa na kiongozi wa nchi hiyo, Emir Tamim bin Hamad al-Thani. Baada ya kulakiwa rasmi katika uwanja wa ndege, viongozi hao wawili wamefanya mazungumzo kuhusu masuala ya uhusuano wa nchi mbili, kieneo na kimataifa. Katika safari hiyo ya…
Qatar yasisitiza azma yake ya kustawisha zaidi uhusiano na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake iko tayari kustawisha zaidi uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Sheikh Muhammad bin Abdurahman Al Thani ametoa sisitizo hilo katika mazungumzo aliyofanya na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian pembeni ya mkutano wa 58 wa usalama wa Munich…
Hizbullah: Ndege ya upelelezi tunayoimiliki imeingia katika ardhi za Palestina na kutoka bila ya tatizo lolote
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake moja isiyo na rubani aina ya “Hassan” imeingia hadi ndani ya anga ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel kwa ajili ya kufanya upelelezi. Duru za habari ziliripoti siku ya Ijumaa kuwa, sauti za ving’ora vya hali ya…
Khatibu wa Sala ya Ijumaa – Tehran; Iran ni mlinzi wa amani katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu
Hujjatul-Islam Mohammad Hossein Abu Turabi Fard, khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mingoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu. Aidha amebainisha kuwa, nguvu na uwezo mkubwa wa kisiasa, kiulinzi, kiutaalamu na wa…
Ali Khamenei : Uongozi wa Muqawama Asia Magharibi wayakata makali majigambo ya ubeberu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema hayo leo sambamba na kukaribia kumbukumbu ya harakati ya kihistoria ya wananchi wa Tabriz ya 29 Bahman 1356 Hijria Shamshia (18 Februari 1978) wakati alipozungumza kwa…