Ulimwengu wa Kiislamu

Times of Israel: Misri na UAE zajiandaa kushiriki katika mpango wa kuilinda Gaza

Times of Israel: Misri na UAE zajiandaa kushiriki katika mpango wa kuilinda Gaza

Gazeti la Israel la The Times of Israel lilitangaza kuwa Misri na Imarati zimeshirikiana kwa masharti , ikiwa ni pamoja na kutaka mpango huo uhusishwe na kuundwa kwa njia ya kuelekea taifa la Palestina. Gazeti la Kizayuni la Times of Israel likiwanukuu maafisa wa utawala huo, limesisitiza kuwa Misri na Imarati ziko tayari kushiriki katika…

Sababu kuu ya umma kukaa kimya kunako Palestina inahitaji utambuzi:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Sababu kuu ya umma kukaa kimya kunako Palestina inahitaji utambuzi:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 21st June, 2024   Hotuba ya 1: Maana ya Wilaya katika fasihi ya Kiarabu na Qur’an Hotuba ya 2: Sababu kuu ya umma kukaa kimya kunako Palestina inahitaji utambuzi Maisha ya…

Siku ya Eid al-Adha inatakiwa iwe ni siku ya maandamano dhidi ya madhalimu wa Palestina:Ustad Syed Jawad Naqvi

Siku ya Eid al-Adha inatakiwa iwe ni siku ya maandamano dhidi ya madhalimu wa Palestina:Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 14 June, 2024 Hotuba ya 1: Hajj bila ya kujitenga na madhalimu wa zama sio hajj Hotuba ya 2: Siku ya Eid al-Adha inatakiwa iwe ni siku ya maandamano dhidi ya…

Hamas imeanza vita ambayo haitaisha mpaka Israel itakapo tokomezwa: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hamas imeanza vita ambayo haitaisha mpaka Israel itakapo tokomezwa: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 7 June, 2024 Hotuba ya1: Mama wa Taqwa zote ni mfumo wa kisiasa wa kiungu kuubadilisha mfumo wa na mifumo mingine ni dhihaka Hotuba ya 2: Hamas imeanza vita ambayo haitaisha…

Ukatili mbaya sana katika historia ya ubinadamu umefanywa Rafah:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Ukatili mbaya sana katika historia ya ubinadamu umefanywa Rafah:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa : Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 31 May, 2024 Hotuba ya 1: Falah ni nini, na vipi Taqwa, Tawassul na Jihadi humpeleka mtu kwenye Falah. Hotuba ya 2: Ukatili mbaya sana katika historia ya ubinadamu…

Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu

Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu

Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linafungamana kikamilifu na stratejia na mkakati wake wa kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Kiislamu. Muhammad Mokhber amesema hayo katika mazungumzo yake hapa mjini Tehran Spika wa Bunge la Mali. Huku akiishukuru serikali na wananchi wa Mali kwa kuonyesha mshikamano wao na serikali…

Mujahid ni yule anayetumia uwezo wote katika njia ya Mwenyezi Mungu: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Mujahid ni yule anayetumia uwezo wote katika njia ya Mwenyezi Mungu: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 24 May, 2024 Hotuba ya 1: Mujahid ni yule anayetumia uwezo wote katika njia ya Mwenyezi Mungu Hotuba ya 2: Mwisho wa Israeli umekaribia lakini pale tunaposimama يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا…

Watunisia waandamana kupinga ‘uingiliaji wa kigeni’

Watunisia waandamana kupinga ‘uingiliaji wa kigeni’

Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano kulaani na kupinga hatua ya nchi za Magharibi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Shirika la habari la Reuters limeandika habari hiyo na kueleza kuwa, wananchi wa Tunisia wanaomuunga mkono Rais Kais Saied wa nchi hiyo wamefanya maandamano hayo katika mji mkuu Tunis, kulaani uingiliaji wa kigeni katika…