Uwahabi

Uingereza yalegeza kamba, yaghairi kuuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

Uingereza yalegeza kamba, yaghairi kuuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa serikali mpya ya Uingereza imelegeza kamba kuhusiana na mpango wa serikali ya waziri mkuu wa zamani Liz Truss wa kuhamishia ubalozi wa nchi hiyo katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu. Tarehe 22 Septemba, wakati Liz Truss alipokutana na waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel…

Sheikh Isa Qassim: Uchaguzi ujao unalenga kuimarisha udikteta Bahrain

Sheikh Isa Qassim: Uchaguzi ujao unalenga kuimarisha udikteta Bahrain

Kiongozi mashuhuri wa kidini nchini Bahrain amesema uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo hauna lengo jingine isipokuwa kuimarisha mienendo ya kiimla na kidikteta ya watawala wa Aal-Khalifa. Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini wa mapinduzi ya Bahrain amesema hayo katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter hapo jana na kuongeza kuwa: Chaguzi nchini…

Saudi Arabia yatakiwa ikomeshe vitendo vya kuwanyonga kiholela wapinzani

Saudi Arabia yatakiwa ikomeshe vitendo vya kuwanyonga kiholela wapinzani

Jumuiya na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu yameelezea wasiwasi mkubwa yaliyonao kutokana na kuongezeka mno hatua za utawala wa Saudi Arabia za kuwanyonga kiholela wapinzani. Jumuiya hizo zimewatolea mwito viongozi wa Saudia na mamlaka husika katika nchi hiyo ya utawala wa kifalme zikomeshe mauaji na hukumu za kiholela za adhabu ya kifo. Mwito…

Saudia yalaumiwa vikali kuruhusu tamasha la Halloween na kuvunja heshima ya Haramaini

Saudia yalaumiwa vikali kuruhusu tamasha la Halloween na kuvunja heshima ya Haramaini

Kusambazwa picha za tamasha la kishetani la “Halloween” katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh kwa usaidizi na uungaji mkono wa Bodi ya Burudani ya nchi hiyo kumeibua wimbi la hasira kali na kauli za kejeli kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Falastin al-Yaum, watumiaji wa mitandao ya kijamii wameandika…

Watu 6 katika timu ya magaidi watenda jinai katika Haramu takatifu ya Shah Cheragh watiwa nguvuni

Watu 6 katika timu ya magaidi watenda jinai katika Haramu takatifu ya Shah Cheragh watiwa nguvuni

Wizara ya Intelijinsia ya Iran imetangaza kuwa, imewatambua na kuwatia nguvuni watu sita katika timu ya usaidizi ya magaidi watenda jinai dhidi ya Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (as) huko katika mji wa Shiraz. Watu 15 wakiwemo watoto wawili waliuliwa shahidi na wengine 30 kujeruhiwa baada ya gaidi mmoja kuwashambulia kwa risasi Jumatano iliyopita…

Kushamiri kuwepo kijeshi Wazayuni kusini mwa Yemen; njama iliyoandaliwa na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)

Kushamiri kuwepo kijeshi Wazayuni kusini mwa Yemen; njama iliyoandaliwa na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)

Wakati hali ya mchafukoge wa kisiasa kusini mwa Yemen ikiwa imefikia kiwango cha juu huku serikali tegemezi na kibaraka iliyoko huko ikiwa haina mamlaka yoyote ya uendeshaji wa mambo yake, katika njama iliyoratibiwa na Muungano wa Falme za Kiarabu Imarati, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshamirisha kuwepo kwake kijeshi katika eneo hilo la kusini…

Kuongezeka mara 6 kiwango cha talaka nchini Saudi Arabia

Kuongezeka mara 6 kiwango cha talaka nchini Saudi Arabia

Kiwango cha talaka na wanandoa kuachana kimeongeza mno nchini Saudi Arabia katika miaka ya hivi karibuni na kutishia mustakabali wa familia nyingi katika nchi hiyo inayoongozwa kwa mfumo wa kifalme wa kifamilia. Takwimu zinaonyesha kuwa, matukio saba ya talaka na kuachana wanandoa hushuhudiwa kila baada ya saa moja nchini Saudi Arabia. Aidha kwa mujibu wa…

Magaidi 17 wa al-Shabaab wauwa katika operesheni mpya Somalia

Magaidi 17 wa al-Shabaab wauwa katika operesheni mpya Somalia

Vyombo vya intelejensia vya Somalia vikishirikiana na vya kimataifa vimeangamiza wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab. Kwa mujibu wa Wizara ya Habari ya Somalia, magaidi hao waliuawa katika operesheni ya usiku wa kuamkia jana katika mji wa Hawadley, yapata kilomita 40 kaskazini mwa Mogadishu. Taarifa ya wizara hiyo imesema: Operesheni hiyo ilifanywa na…