Uwahabi

Ujumbe wa ngazi za juu wa Oman wawasili Sana’a, Yemen

Ujumbe wa ngazi za juu wa Oman wawasili Sana’a, Yemen

Duru za habari za Sana’a mji mkuu wa Yemen zimeripoti kuwa ujumbe wa ngazi ya juu wa Oman umewasili mjini humo kufuatilia suala la kurefushwa usitishaji vita nchini Yemen. Duru hizo za habari zimesema, ujumbe huo wa ngazi ya juu wa Oman uliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana’a, mji mkuu wa Yemen…

Magaidi 61 wa al-Shabaab waangamizwa na maafisa usalama Somalia

Magaidi 61 wa al-Shabaab waangamizwa na maafisa usalama Somalia

Somalia imetangaza habari ya kuuawa kwa magaidi 61 wa genge la al-Shabaab kusini mwa nchi, huku vikosi vya usalama vya nchi hiyo ya Pembe ya Afya vikishadidisha operesheni zao dhidi ya wanamgambo hao. Wizara ya Habari ya Somalia imesema kuwa, magaidi hao wameuawa na Idara ya Taifa ya Intelijensia na Usalama (NISA) katika operesheni mpya iliyofanyika…

Matukio muhimu sana na ya kuamua hatima kuhusiana na vita vya Yemen

Matukio muhimu sana na ya kuamua hatima kuhusiana na vita vya Yemen

Matukio mawili mapya yamejiri kuhusiana na vita vya Yemen, ambayo kila moja ni muhimu na lina taathira kubwa ya kuamua hatima ya vita hivyo. La kwanza ni jitihada za Harakati ya Ansarullah za kutaka kuhitimisha hali ya Si Vita Si Suluhu, ambayo imekuwa ikitawala nchini Yemen kwa takriban miezi mitatu sasa tangu ulipokoma kurefushwa muda wa…

Kuendelea kukandamizwa wanawake nchini Saudi Arabia

Kuendelea kukandamizwa wanawake nchini Saudi Arabia

Wanaharakati 35 wa kike wa Saudi Arabia wamehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela ikiwa ni muendelezo wa ukandamizaji unaofanywa na ukoo wa Aal Saud dhidi ya wanawake. Saudi Arabia ni miongoni mwa nchi zenye historia mbaya sana ya uvunjaji wa haki za wanawake duniani. Takwimu zinaonesha kuwa, utulivu na usalama kwa wanawake wa Saudia ulikuwa…

Genge la kigaidi la al Shabab laomba mazungumzo na serikali

Genge la kigaidi la al Shabab laomba mazungumzo na serikali

Serikali ya Somalia ilitangaza jana Jumamosi kwamba genge la kigaidi na ukufurishaji la al Shabab limeomba kufanya mazungumzo na serikali hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwa genge hilo kuomba kukutana na kuzungumzo na serikali ya Mogadishu. Ombi hilo la al Shabab limekuja huku vikosi vya serikali vikiendelea kupambana na genge hilo kigaidi ambalo limetangaza…

“Walimwengu wamekuwa watazamaji tu wa jinai za Saudia dhidi ya Wayamen”

“Walimwengu wamekuwa watazamaji tu wa jinai za Saudia dhidi ya Wayamen”

Kituo cha Haki za Binadamu cha Yemen cha Ainu Yemen (Jicho la Yemen) kimetoa radiamali yake kuhusiana na jinai mpya za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia na kutangaza kuwa, jamii ya kimataifa imeamua kuwa mtazamaji tu wa jinai zinazofanywa na Aal Saud na washirika wake huko nchini Yemen. Kituo hicho sambamba na…

Magaidi wa al Shabab waua watu sita katika uvamizi wa kijiji kimoja nchini Somalia

Magaidi wa al Shabab waua watu sita katika uvamizi wa kijiji kimoja nchini Somalia

Genge la kigaidi na ukufurishaji la al Shabab limeua takriban watu sita katika shambulizi dhidi ya kijiji kimoja cha katikati mwa Somalia ambacho walifurushwa wiki iliyopita. Hayo yamethibitishwa na wapiganaji wa kieneo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia na kuongeza kuwa, shambulio hilo limetokea katika kijiji cha Hilowle Gaab katika Jimbo la Hirshabelle, ambacho jeshi la…

Wanaharakati wanawake 35 wa Saudia wahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

Wanaharakati wanawake 35 wa Saudia wahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

Vyanzo vya mashirika ya kutetea haki za binadamu vimeripoti kuwa wanaharakati wanawake 35 wa Saudi Arabia wamehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela na utawala wa Al-Saud. Haki za binadamu ni kitu kigeni kwa wananchi wa Saudia kwa sababu kwa muda mrefu wamenyimwa hata haki za kimsingi na hadi sasa pia hawajaweza kufaidika na haki za…