UN: Thuluthi moja ya Waarabu wanaishi katika umaskini
Taasisi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, thuluthi moja ya jamii ya Waarabu wanaishi katika hali ya umaskini na uchochole wa kupindukia. Kamisheni ya Uchumi na Jamii ya Asia Magharibi (ESCWA) imesema, ongezeko la umaskini katika nchi za Kiarabu litawaathiri watu zaidi ya milioni 130, na kwamba thuluthi moja ya Waarabu wanaishi chini ya mstari wa umaskini….
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) yasisitiza wasichana kupatiwa elimu Afghanistan
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ametoa wito wa kufanyika kampeni ya kuandaa mazingira ya kupatiwa elimu wasichana wa Afghanistan. Wiki iliyopita, serikali ya Taliban ilitoa taarifa ya kupiga marufuku wasichana kuendelea na masomo katika vyuo vikuu vya nchi hiyo. Hatua hiyo imekabiliwa na malalamiko mengi ndani na nje ya Afghanistan. Kabla ya hapo…
Saudia imeua raia 3,000 wakiwemo Waafrika katika hujuma huko Sa’ada Yemen mwaka 2022
Afisa wa afya wa Yemen amesema takriban raia 3,000, wakiwemo wakimbizi wa Kiafrika, wamepoteza maisha au kujeruhiwa vibaya mwaka huu kutokana na mashambulizi ya mizinga na makombora ya vikosi vya jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa kaskazini magharibi wa Sa’ada nchini Yemen. Mkurugenzi wa Hospitali ya Razih, Abdullah Musreeh, ameliambia shirika rasmi la habari…
Ripoti: Mwaka 2022 umeshuhudia jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia
Mwaka huu unaomalizika wa 2022 unaelezwa kuwa, umeshuhudia ukiukaji wa haki za binadamu na jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia. Ripoti ya Kanali ya Televisheni ya al-Alam iliyotolewa leo inaeleza kuwa, katika mwaka huu unaomalizika wa 2022 nchini Saudia kumeshuhudiwa ukiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu, jinai na utekelezaji wa hukumu za…
Kuweko utumwa mamboleo nchini Saudi Arabia
Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa, utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya asasi na jumuiya za kimataifa. Katika ripoti yake inayozungumzia uwepo wa utumwa mamboleo, kazi za kulazimishwa na ubakaji nchini Saudi Arabia, gazeti la Times limeandika kuwa, baadhi ya wafanyabiashara haramu ya binadamu nchini Saudi Arabia wanawaadhibu wafanyakazi wao…
Waislamu wa madhehebu ya Kishia na nafasi yao ya kistratijiki duniani – Ali Akbar Raefipour
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Mtazamo wa ulimwengu wa waumini. Hotuba ya Bw. Raefipour Shiraz tarehe 21 Januari 2016 Niwaambieni kitu ambacho kitawapa mtetemeko katika uti wa mgongo, kama ambavyo ni muhimu kwetu sisi kukijua; Asilimia 70 hadi 80 ya mafuta ya dunia yako mikononi mwa Mashia. Narudia tena; asilimia…
Wizara ya Afya ya Yemen: Uvamizi na mzingiro umesababisha magonjwa ya kuambukiza
Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema hatua ya muungano vamizi wa Saudi Arabia ya kutekeleza hujuma za kikatili na mzingiro wa ukandamizaji dhidi ya watu wa Yemen imesababisha kuenea magonjwa mbalimbali ya kuambukiza nchini humo. Saudi Arabia ikiungwa mkono na kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu…
Times: Utumwa mamboleo bado upo nchini Saudi Arabia
Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya taasisi za kimataifa. Katika ripoti yake inayozungumzia uwepo wa utumwa mamboleo, kazi za kulazimishwa na ubakaji nchini Saudi Arabia, gazeti la Times limeandika kuwa, baadhi ya wafanyabiashara haramu ya binadamu nchini Saudi Arabia wanawaadhibu wafanyakazi wao kwa kuwapiga…