Uwahabi

Mmoja wa wakurugenzi wa Twitter ahukumiwa kifungo kwa kuifanyia ujasusi Saudi Arabia

Mmoja wa wakurugenzi wa Twitter ahukumiwa kifungo kwa kuifanyia ujasusi Saudi Arabia

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Marekani imepelekea kuhukumiwa mmoja wa wakurugenzi wa zamani wa mtandao wa kijamii wa Twitter kifungo cha miaka mitatu na nusu jela kwa tuhuma za kufanya ujasusi kwa manufaa ya Saudi Arabia. Wawakilishi wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka huyo walikuwa wameomba kifungo cha miaka saba jela dhidi ya Abu Amu kwa…

Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi

Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi

Mbunge wa chama cha Likud katika Bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, kwa kuzingatia mazungumzo yaliyofanyika, inatarajiwa kuwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya utawala huo na Saudi Arabia yatasainiwa mwaka ujao wa 2023. Danny Danon, mbunge wa chama cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu, aliyekabidhiwa jukumu la kuunda baraza…

Kuvunja rekodi ya kunyonga Saudi Arabia katika uongozi wa Bin Salman

Kuvunja rekodi ya kunyonga Saudi Arabia katika uongozi wa Bin Salman

Mtandao wa Mirat al-Jazeera umetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia umetoa hukumu ya mwisho ya wafungwa watano kwa sababu za kiitikadi. Chombo hicho cha habari kimenukuu duru moja na kutangaza kuwa, utawala wa Riyadh umetoa hukumu ya kunyongwa Muhammad Ali al-Shiqaq, Mansur Samir al-Haik, Marzouk Muhammad Dhaif Aal Fadhl na Raad Muhammad Dhaif Aal Fadhl….

Watoto wa Kiyemeni wakusanyika mbele ya ofisi ya UN kupinga mauaji dhidi yao

Watoto wa Kiyemeni wakusanyika mbele ya ofisi ya UN kupinga mauaji dhidi yao

Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani, watoto wa Kiyemeni wamekuanyika mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa huko Sana’a mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya watoto wa Yemen na kuzingirwa nchi yao. Watoto wa Yemen leo Jumanne wameandamana katika mitaa mbalimbali ya…

UNICEF: Vita vya Saudia vimeua, kuwafanya vilema watoto 11,000 wa Yemen

UNICEF: Vita vya Saudia vimeua, kuwafanya vilema watoto 11,000 wa Yemen

Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limesema watoto 11,000 wa Kiyemen ama wameuawa au kusababishiwa ulemavu wa daima wa viungo tangu yalipoanza mashambulizi ya muungano vamizi wa kijeshi huko Yemen chini ya uongozi wa Saudi Arabia mwezi Machi 2015. Hayo yamesemwa leo Jumatatu na Catherine Russell, Mkurugenzi Mkuu wa UNICEF ambaye ameongeza kuwa,…

Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa

Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa

Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia. Jamshidi ameandika: “Wenzetu Wachina inapasa wakumbuke kuwa wakati Aal Saud na Marekani zilipoyaunga mkono makundi ya kigaidi ya…

Waziri wa mafuta wa Yemen aonya makampuni ya kigeni dhidi ya uporaji mafuta, gesi

Waziri wa mafuta wa Yemen aonya makampuni ya kigeni dhidi ya uporaji mafuta, gesi

Waziri wa mafuta na madini katika Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen amezionya kampuni za kigeni dhidi ya kupora utajiri wa mafuta na gesi ya nchi hiyo ya Kiarabu inayokumbwa na vita, na kusisitiza kwamba Sana’a haitaacha juhudi zozote za kutetea mamlaka ya kitaifa na kulinda maslahi na utajiri wa umma. Ahmed Dares ameyataka…

Saudia yazidi kuingilia masuala ya Libya, Bin Salman aonana na Menfi mjini Riyadh

Saudia yazidi kuingilia masuala ya Libya, Bin Salman aonana na Menfi mjini Riyadh

Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya, Mohamed al-Menfi, amekutana na mwanamfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman katika mji mkuu wa Riyadh kujadili maendeleo ya kisiasa ya Libya na matarajio ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Taarifa ya ofisi ya al-Menfi imesema kuwa, pande hizo mbili pia zimejadiliana masuala kadhaa yanayohusiana na mzozo wa…