
Magaidi 15 wa Al-Shabaab wauawa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu
Maafisa wa Somalia wametangaza kuuawa kwa magaidi 15 wa Al-Shabaab wameuwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kamanda wa jeshi la Somalia Adwai Youssef amesma vikosi vya usalama vya nchi hiyo vimefanikiwa kuwaua magaidi 14 waliokuwa na silaha katika eneo la Dabq Labi na wakamwangamiza gaidi mwingine katika…

Hizbullah yahimiza kuchaguliwa rais mpya wa Lebanon haraka iwezekanavyo
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Shekhe Naeem Qassim ametilia mkazo ulazima wa kuchaguliwa rais mpya wa nchi hiyo haraka iwezekanavyo. Katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Shekhe Naeem Qassim amesema: “katika kipindi hiki, sisi ndani ya Hizbullah tunatilia mkazo masuala mawili makuu na muhimu; la kwanza ni kwamba rais achaguliwe…

Uingereza, mshirika wa Saudia katika jinai dhidi ya watu wa Yemen
Takwimu zinaonyesha kuwa, serikali ya Uingereza ni muuzaji wa pili mkubwa zaidi wa silaha kwa Saudi Arabia na mshirika katika uhalifu jinai zinazofanywa na muungano wa vita wa Saudia dhidi ya watu wa Yemen. Uingereza ilishika nafasi ya sita duniani kwa mauzo ya silaha mwaka 2016-2020, ikiwa ni asilimia 3.3 ya mauzo yote ya silaha….

Ansarullah: Taifa la Yemen halina chaguo jingine isipokuwa mapambano
Hizam al Asad, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo hawana njia nyingine isipokuwa kuendeleza mapambano ya ukombozi wa ardhi za nchi yao kutoka kwenye makucha ya wavamizi wanaoongozwa na Saudi Arabia. Dk al Asad amesema hayo katika mahojiano na televisheni ya al Alam na kusisitiza…

Muungano wa Februari 14: Utawala wa Aal Khalifa Bahrain umetengwa
Muungano wa Februari 14 ambayo ni harakati ya upinzani nchini Bahrain umetangaza kuwa, utawala wa Aal Khalifa umepoteza muungano na waitifajki wake na hiivi sasa uumetangwa kikamilifu. Ibrahim al-Aradi, Mkurugenzi wa Ofisi ya Kisiasa ya Muungano wa Februari 14 amesema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umetengwa hasa baada ya kuvurugika muungano na waitifaki wake na kwamba,…

Athari mbaya za vita vya Yemen kwa wanawake na watoto
Waziri wa Afya wa serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, wanawake na watoto wa nchi hiyo ndio wanaoathiriwa moja kwa moja na athari mbaya za vita vya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo. Saudi Arabia ikiungwa mkono na Marekani, Imarati na nchi nyingine kadhaa, mwezi Machi 2015 ilianzisha vita…

Saudia yakosolewa kwa kuzima sauti ya adhana kwa ajili ya hafla za ufuska
Licha ya ukandamizaji wa kimfumo wa utawala wa Saudia dhidi ya wale wanaokosoa mwelekeo wa kisiasa na kijamii wa utawala huo unaolazimishwa kwa watu kwa mabavu, sauti zimeanza kupazwa nchini humo dhidi ya hafla na sherehe za ufuska na ufisadi zinazoandaliwa na kile kinachoitwa Mamlaka Kuu ya Burudani katika Ufalme huo. Makumi ya watu wameonekana…

Marekani yatakiwa ihitimishe uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudia
Zaidi ya taasisi 100 za kutetea haki za binadamu zimeitaka Marekani ihitimishe himaya na uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kufanya mauaji huko nchini Yemen. Asasi na taasisi hizo zimewaandikia barua Wabunge wa Marekani ambao wana jukumu la kutunga sheria na kuwataka waunge mkono muswada wa mamlaka ya kivita unaotaka kusitishwa…