Uwahabi

Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kimkakati kutoka kwa magaidi wa al Shabaab

Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kimkakati kutoka kwa magaidi wa al Shabaab

Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuukomboa mji wa kimkakati wa Adanyabal katika eneo la Shabelle ya Kati kutoka kwa magaidi wa al Shabaab. Rais Mohamud ametangaza habari hiyo wakati akihutubia umma kupitia televisheni ya taifa na huku akigusia tangazo lake la huko nyuma la kuanza vita vya…

Malengo ya pamoja ya Aal-Khalifa na Israeli kuhusu safari ya Herzog mjini Manama

Malengo ya pamoja ya Aal-Khalifa na Israeli kuhusu safari ya Herzog mjini Manama

Isaac Herzog, mkuu wa utawala wa Kizayuni unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu, aliwasili nchini Bahrain tarehe 4 Disemba kwa ziara rasmi ambapo alikutana na kuzungumza na Mfalme Hamad bin Issa wa nchi hiyo. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa mfalme huyo. Isaac Herzog alitangaza mapema Jumamosi kwamba alikuwa amepanga kuelekea Manama kwa mwaliko wa…

Watu wenye silaha wavamia msikiti Nigeria na kuteka nyara watu 19

Watu wenye silaha wavamia msikiti Nigeria na kuteka nyara watu 19

Watu wenye silaha wameshambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Nigeria na kuwateka nyara watu 19. Kwa mujibu wa vyombo rasmi vya serikali, tangu mwishoni mwa mwaka 2020 hadi sasa, maeneo ya kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria yamekuwa yakishuhudia ongezeko la mashambulizi ya silaha. Vitendo vya utekaji nyara wa halaiki na aina zingine za uhalifu wa utumiaji nguvu vimeongezeka mno…

Yemen: Tunao uwezo wa kujibu shambulio lolote kwa makombora na droni

Yemen: Tunao uwezo wa kujibu shambulio lolote kwa makombora na droni

Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinao uwezo wa kujibu mapigo dhidi ya shambulio lolote lile. Brigedia Saree ameeleza katika taarifa: “huko nyuma, maadui walikuwa wakishambulia Sana’a na mikoa mingine kwa mabomu na makombora bila kujibiwa; lakini leo tunao uwezo wa kujibu shambulio lolote lile kwa…

Walio hatarini kunyongwa Saudia kwa sababu za kiitikadi wafikia 59

Walio hatarini kunyongwa Saudia kwa sababu za kiitikadi wafikia 59

Vyombo vya mahakama vya Saudi Arabia vimepitisha hukumu ya adhabu ya kifo kwa vijana kadhaa waliowekwa kizuizini ukiwa ni mwendelezo wa utoaji hukumu za kifo kiholela kwa raia wanaoshikiliwa kwa sababu za kiitikadi. Faili la haki za binadamu la Saudi Arabia limetapakaa damu za watu wasio na hatia hususan Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo,…

Wapiganaji zaidi ya 40 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria

Wapiganaji zaidi ya 40 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria

Mkurugenzi wa Idara ya Habari ya Wizara ya Ulinzi ya Nigeria ametangaza mapema leo Jumamosi kwamba magaidi 44 wa kundi la Boko Haram wameuawa katika operesheni za anga na nchi kavu za jeshi kaskazini mwa nchi hiyo. Brig.-Gen Musa Danmadami ametangaza kuwa magaidi hao 44 wa Boko Haram waliuawa wiki iliyopita katika operesheni za jeshi la Nigeria…

Wimbi jipya la mauaji ya wasomi na wanaharakati laripotiwa Saudia

Wimbi jipya la mauaji ya wasomi na wanaharakati laripotiwa Saudia

Wimbi jipya la kunyongwa na kuuliwa wasomi na wanaharakati wa masuala ya kijamii limeripotiwa nchini Saudi Arabia baada ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kumtia nguvuni mwanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Madina. Kamata kamata hiyo nchini Saudia inafanyika kwa mujibu wa sheria eti za kukabiliana na ugaidi na sheria nyingine zilizowekwa kwa…

Mchambuzi: Wafanyakazi wa Kiafrika wanakandamizwa sana Saudia

Mchambuzi: Wafanyakazi wa Kiafrika wanakandamizwa sana Saudia

Haki za wafanyakazi wahamiaji wa Kiafrika zinapuuzwa kwa kiwango kikubwa Saudia Arabia na utawala huo wa kifalme wenye kiburi. Zaakir Ahmed Mayet alisema hayo katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Press TV siku ya Jumapili baada ya kanda za video kufichua mauaji ya wahajiri wa Kiafrika kutoka Ethiopia yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa…