
OIC yaitisha kikao cha dharura kujadili hujuma za Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza kuwa, wiki hii itaitisha kikao cha dharura cha nchi wanachama kwa ajili ya kujadili hujuma za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa. Duru za karibu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) zinasema kuwa, kikao hicho cha dharura kinatarajiwa kufanyika kesho Jumanne katika makao makuu ya jumuiya…

Kutolewa hukumu ya kumtia nguvuni Trump; Azma ya Iran na Iraq kwa ajili ya kuadhibiwa wahusika wa mauaji ya makamanda wa muqawama
Sayyid Razi Imadi Faiq Zaidan, Mkuu wa Baraza Kuu la Mahakama la Iraq ameeleza kuwa chombo cha mahakama cha nchi hiyo kimetoa hukumu ya kutiwa mbaroni Donald Trump rais wa zamani wa Marekani ambaye amekiri hadharani kutekeleza jinai hiyo ya mauaji dhidi ya makamanda wa ushindi. Luteni Jenerali Qassim Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha…

Maelfu waandamana katika ardhi za Palestina dhidi ya Waziri fisadi Netanyahu na serikali yake
Maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel) wameandamana kupinga baraza jipya la mawaziri la Waziri Mkuu wa Israel lenye misimamo mikali. Baraza hilo jipya la Benjamin Netanyahu linatabiriwa kuanzisha sera hatari huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Washiriki katika maandamano hayo walikuwa wamebeba bango kubwa lenye maandishi yanayosomeka, “Waziri Fisadi”, wakiamuashiria Waziri…

Mwanazuoni wa Bahrain: Ni haramu kuwauzia ardhi Mayahudi
Imamu Sala ya Ijumaa katika mji wa Al-Diraz nchini Bahrain, amesema kuwauzia ardhi Wayahudi ni sawa na kuiuza nchi na ni haramu. Septemba 2020, viongozi wa Bahrain na wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel walisaini makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida katika hafla iliyofanyika Ikulu ya White House mbele ya rais wa zamani wa Marekani Donald…

Nchi 14 za Kiarabu zinapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa katika nchi 14 za Kiarabu yanaonesha kuwa, akthari ya watu wa nchi hizo wanapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Mwaka 2020, nchi nne za Kiarabu za Muungano wa Falme za Kiarabu Imarati, Bahrain, Sudan na Morocco, bila kujali jinai za utawala haramu wa…

Mpalestina aliyeshikiliwa kwenye gereza la Israel kwa muda mrefu zaidi wa miaka 40 aachiwa huru
Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umemwachilia huru mateka Mpalestina aliyeshikiliwa kwenye gereza la utawala huo dhalimu kwa muda mrefu zaidi wa miaka 40. Kwa mujibu wa shirika la habari la Al-Mayadin, Karim Younes, mateka Mpalestina mwenye umri wa miaka 66 ameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa muda wa miaka 40 katika jela za utawala…

HAMAS: Viongozi wa nchi za Kiislamu amkeni kukiokoa Kibla cha Kwanza
Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kukiokoa Kibla cha Kwanza cha Waislamu. Mashirika ya habari ya yamemnukuu Ismail Hania akitoa tahadhari hiyo jana (Jumatano) na kuzitaka nchi…

Miaka saba tangu kunyongwa Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr mwanazuoni mtajika wa Saudi Arabia
Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr alikuwa mwanazuoni mahiri na mtajika wa eneo la Qatif mashariki mwa Saudi Arabia ambaye kwa kuunga mkono maandamano ya amani ya eneo hilo alikuwa akitaka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, na wakati huo huo kufanyike mageuzi katika mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo. Utawala wa Saudia…