Uyahudi

Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali hatua ya waziri Mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu ada kuvamia msikiti wa mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu. Taarifa ya Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri imeeleza kuwa, hatua ya waziri huyo ni ya kichochezi na inaonyesha kuingiwa na woga na wahaka…

UN yakemea hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa

UN yakemea hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekemea hujuma zinazofanywa na Wazayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Ni baada ya Itamar Ben Gvir, Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala ghasibu wa Israel kuvamia na kuingia Msikiti wa Al-Aqsa siku ya Jumanne ya jana akiandamana na polisi wa utawala huo…

Da Silva: Tutatetea kwa nguvu haki za watu wa Palestina

Da Silva: Tutatetea kwa nguvu haki za watu wa Palestina

Rais wa Brazil ametangaza kuwa nchi yake itawaunga mkono na kuwatetea kwa dhati Wapalestina. Rais wa Brazil Luis Inacio Lula da Silva ameyasema hayo katika kikao chake na Riyad al-Maliki, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ambaye alimwakilisha Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas katika sherehe za kuapishwa kwake,…

Wapalestina 6 wapigwa risasi na kujeruhiwa katika ukatili mpya wa Wazayuni

Wapalestina 6 wapigwa risasi na kujeruhiwa katika ukatili mpya wa Wazayuni

Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwajeruhi Wapalestina sita wakati walipovamia maeneo tofauti ya Wapalestina hao katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Baraza jipya la mwaziri la Benjamin Netanyahu lilianza kazi rasmi tarehe 29 Disemba 2022. Wataalamu wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa, serikali hiyo mpya…

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena lataka mtazamo wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kuhusu Palestina

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena lataka mtazamo wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kuhusu Palestina

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kwa kupitisha azimio, limetaka maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu namna utawala ghasibu wa Israel unavyokiuka haki ya Wapalestina ya kujitawala na kujiainishia hatima na utawala wao. Katika azimio hilo, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu itoe rai au…

Jihad al Islami: Hatutetereshwi na serikali mpya ya kifashisti ya Israel

Jihad al Islami: Hatutetereshwi na serikali mpya ya kifashisti ya Israel

Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza mapambano yake katika mwaka huu mpya wa 2023 hadi itakapokomboa kila shibri ya ardhi za Palestina na haitetereshwi hata kidogo na serikali mpya ya kifashisti na yenye misimamo mikali kupindukia ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Hayo yameripotiwa na tovuti ya…

Mitambo ya ulinzi wa anga ya Syria yakabiliana na hujuma za Israel katika anga ya Damascus

Mitambo ya ulinzi wa anga ya Syria yakabiliana na hujuma za Israel katika anga ya Damascus

Kikosi cha ulinzi wa anga cha Syria usiku wa kuamkia leo kimefanikiwa kunasa na kuteketeza makombora kadhaa ya adui mzayuni katika anga ya mji mkuu wa nchi hiyo Damascus. Katika miaka ya hivi karibuni, utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukifanya mashambulio ya anga ya mara kwa mara katika mji mkuu wa Syria Damascus na maeneo mengine…

Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba

Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba

Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mkakati wa Tel Aviv dhidi ya Iran wa kutegemea vikwazo vikali vya kiuchumi na kuanzisha mpango wa kuzuia hujuma kupitia Marekani umeshindwa. Meja Jenerali Tamir Hyman, mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni…