
HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kupitisha maazimio kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni bila ya kufikiria njia za kivitendo za kuwezesha utekelezaji wake. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kuunga mkono mpango uliowasilishwa na Palestina, kuhusiana na kutolewa uamuzi wa kisheria na Mahakama ya Kimataifa…

Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha
Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote. Benjamin Netanyahu alisema hayo jana Jumamosi na kueleza kuwa, hatua ya Baraza Kuu la UN ya kupiga kura dhidi ya utawala huo wa Kizayuni inachukiza na kukirihisha. Netanyahu ambaye karibuni alipata…

Qatar yalaani mpango wa Netanyahu wa kupanua vitongozi wa walowezi wa Kizayuni
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Taarifa ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani kuendelea njama za Israel za kuyayahudisha maeneo ya Quds na msikiti wa…

Kuanza kazi baraza la mawaziri la sita la Netanyahu katika mazingira ya mivutano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Benjamini Netanyahu amepata kura ya kuwa na imani naye kwenye Knesset, bunge la utawala haramu wa Israel, na hivyo kupata fursa nyingine ya kuongoza baraza la mawaziri la utawala huo. Netanyahu ameweza kupata kura chanya 63 kati ya wabunge 120 wa Knesset ambapo yeye na washirika wake waliweza kushinda viti 64 katika uchaguzi wa Knesset…

Mufti Mkuu wa Oman aunga mkono kususiwa utawala haramu wa Israel
Mufti Mkuu wa Oman ameunga mkono mpango wa Bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina. Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili amesisitiza kuwa: Tunaunga mkono muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili…

Mamlaka ya Palestina ilitoa wito wa kususia baraza la mawaziri la Netanyahu duniani kote
Katika taarifa yake, Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imezitaka nchi zote za dunia kususia baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina leo (Ijumaa) na siku moja baada ya Knesset kupiga kura ya imani na baraza la mawaziri la Benjamin…

Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia
Mfalme wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kushadidisha mivutano na jinai dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa, jinai hizo huenda zikapelekea kuibuka Intifadha mpya ya Wapalestina. Mfalme Abdullah II wa Jordan amesema hayo katika mahojiano na televisheni ya CNN na kutahadharisha kuhusiana na hatari ya kushadidi hatua za uchochezi na kuzusha…

Walowezi wa Kizayuni wavunja rekodi katika hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Shirika la Kiislamu linalosimamia masuala ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) linasema kwamba idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wa Israel walivamia eneo hilo takatifu la Kiislamu mwaka 2022. Hadi kufikia Disemba 29 2022, walowezi 48,238 wamekiuka eneo hilo, ambalo ni eneo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu. Hayo yamedokezwa na Azzam…